Mothers week

Sipo

JF-Expert Member
Jul 25, 2008
2,139
91
WanaJF naamini hii ni wiki ya akina MAMA ambayo kilele chake ni Jumapili hii. Kwa kifupi tu nisesme kuwa tuna kila sababu ya kumheshimu huyu MZAZI anayeitwa MAMA kwa jinsi yeyote ile. Sababu ni nyingi sana na kila mmoja wetu anazifahamu labda tu kwa yule aliyetelekezwa au kutupwa na MAMA yake jalalani. Otherwise let us congratulate our mothers even if she is the late but still her love is with us forever.
 
Jamania inabidi tuwape sifa EAST AFRICA TV NA EAST AFRICA RADIO, ndiyo media pekee nimeona inazungumzia na kupromote suhala la wiki ya mama,. u guys at EATV ur most creative media house in Tanzania au wadau mnasemaje?
 
ni kweli Encore unachokisema, lakini juzi nimewapinga sana kwa wale yule kijana na wale mabinti waliowaalika kwenye kipindi. They had very little experience na maisha na kazi za akina MAMA. Kwa ushauri wangetakiwa waweke watu wenye umri tofauti pale ili kuleta ladha ya kipindi. Ila nawapongeza kwa wale akina MAMA waliofanyiwa interview majumbani mwao. It was very nice one.
 
Wamama wote wa JF kila la heri kwenye umama wenu.
Enyi wababa wapendeni wake zenu.
 
ni kweli Encore unachokisema, lakini juzi nimewapinga sana kwa wale yule kijana na wale mabinti waliowaalika kwenye kipindi. They had very little experience na maisha na kazi za akina MAMA. Kwa ushauri wangetakiwa waweke watu wenye umri tofauti pale ili kuleta ladha ya kipindi. Ila nawapongeza kwa wale akina MAMA waliofanyiwa interview majumbani mwao. It was very nice one.
Kilikuwa kipindi cha ovyo kupita kiasi.
Kuna tatizo kubwa kwenye hiyo TV station hasa kwa viongozi na watengenezaji wa vipindi.
 
Beloved LADIES,

You know how special you are. You might not be a mother yet, but you may be a girlfriend, a wife, a sister, an aunt, a god mother etc.

To those who have recently given birth, congrats. Those who are pregnant, stay healthy and enjoy the 9 months.

Those who have miscarried, stay strong, everything happens for a reason. Those who have conceived and don't know it yet, prepare yourself for the best experience of your life.

Those who are looking after their siblings, you are doing a great job. Those who have adopted, we need more angels like you.

Those who are single moms, you are our hero's, stay strong. Those who have aborted, the world might be judging you, but you had your reasons.

Those who have recently lost their mothers, aunts, sisters and girlfriends, they are at a better place but their spirit lives on.

Those who have mothers they don't get along with, the relationship is worth fixing, so you should, lest you regret later on.

Mothers, know that you are special and never settle for less.

Happy Mothers Day!!!
 
A super dupa happy mother's day to those men who pull up double duties of being a father and a mother.
 
ni kweli Encore unachokisema, lakini juzi nimewapinga sana kwa wale yule kijana na wale mabinti waliowaalika kwenye kipindi. They had very little experience na maisha na kazi za akina MAMA. Kwa ushauri wangetakiwa waweke watu wenye umri tofauti pale ili kuleta ladha ya kipindi. Ila nawapongeza kwa wale akina MAMA waliofanyiwa interview majumbani mwao. It was very nice one.

like Shamim! (zeze), wamama wa nyumbani walijieleza vizuri sana, wale wa studio kwa kweli hata mie ckuwafurahia, kwa yule kijana wangetafuta atleast mzee/baba wa makamo!
 
Back
Top Bottom