BM-40 OPERATOR
Senior Member
- Oct 13, 2012
- 153
- 55
Acheni masuala ya kukaa na kushabikia upuuzi wa wayahudi. Those guys are killing innocent men, womemen and children all around gazza strip. Ukiona clip ya namna Israel inaua watu kikatili kwa makomboro huwezi kuchekelea labda uwe ni mwendawazimu. Au waarabu sio watu? Wengine wanaona ni pride sana to work for the secret service kwa kuangalia movie za hollywood. Kueni myaone, baba zenu wanatamani kuacha na kukumbia kazi huko ila ndio washaingia ngome tayari. Acheni masihara vijana!