Africa_Spring
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 426
- 111
Hitler-SS NDO THE BEST KILLING MACHINE....ASK THE MOSSAD I BET THEY KNOW IT BETTER
Nilitoa hapa Mossad - The World's Most Efficient Killing Machine nikaona sio vibaya niwatupie wa jf nao wasome huo uhondo. Hiyo ni simulizi ya former mossad director mr.Gordon Thomas
hadithi njoo...uongo njoo...utamu kolea
Habari yako hii imekaa kiushabiki sana hivi website ya RENCE unajua ni ya nani?????? na ina malengo gani????source yako haiaminiki maana hata mimi naweza kuanzisha website nakuandika nipendayo hizi habari si za kweli bali ni za kutakia tu kuwaonyesha watu wengine ni wabaya wakati si kweli please find the concrete support ili uweze kutushawishi,ama sivyo itakuwa hadidhi ya Elfu ulela-ulela.
Hitler-SS NDO THE BEST KILLING MACHINE....ASK THE MOSSAD I BET THEY KNOW IT BETTER
Kusema ni uongo bila kutoa hoja zako au evidence which shows otherwise is even more pathetic...ukitaka kum-discredit mtu jaribu kujitofautisha by going beyond the lazy and overused cliches such as that one above.
Kusema ni uongo bila kutoa hoja zako au evidence which shows otherwise is even more pathetic...ukitaka kum-discredit mtu jaribu kujitofautisha by going beyond the lazy and overused cliches such as that one above.
Hiki ni kitabu cha fiction kama Ludlum, Frederick Forsythe na kadhalika. Uwezi ku discredit fiction. Wenye kuandika hawakusema ni ukweli na wameweka disclaimer kibao wasije wakabanwa. Wewe pamoja na kucopy ile story umesahau kuweka dislaimer usije kuonekana kwamba wewe ndio mwandishi. Sasa baada ya kubanwa hapa ndio unakimbilia kutoa source na kuji distance. Hata hivyo kwa kuwa ni uhondo mtamu nashukuru kwa kuwa nitakuwa naenda pale kujisomea
Kwa hio nisiposema kuwa ni kweli inamaanisha si kweli?Kuna waandishi kibao ambao wanaandika fiction zenye hard facts sema tu ili kukwepa sheria wanasema it is fiction.Unajua hata The Godfather ni fiction lakini ina hard facts...John Le Carre anaandika fiction lakini inajulikana anayoyaandika yametokea na ni facts.unaweza ku-fictionalize wahusika ili kukwepa sheria lakini ukweli unabaki pale pale.
I dont think so ingawa inaelezwa sana ushiriki wa Mosad kwenye Sept 11. Marekani wana share mambo mengi sana na Mosad...they can't play such a game and survive.
wapi mkuu Moshe Dayan
Comrade ndahani,,,, hizi conspiracy theories kuna watu huwa wanazipenda sana,,,,
mossad na cia wana code of conduct.., na wanafanya kazi zao with mutual respect to each other,, everyone anamuhitaji mwenzie kwa dhati kabisa kwa usalama wa mataifa yao