Moshi yaongoza kwa joto kali Afrika

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Kulingana na utabiri wa hali ya hewa uliorushwa na TBC1 jana usiku mjini wa Moshi leo utakuwa na joto kali kuliko yote afrika.
Mjini unaofanana na Moshi utakuwa na Niamey,Niger.
Jamani sijui barafu ya mlima kilimanjaro itapona.
Souce:TBC1
 
Kulingana na utabiri wa hali ya hewa uliorushwa na TBC1 jana usiku mjini wa Moshi leo utakuwa na joto kali kuliko yote afrika.Mjini unaofanana na Moshi utakuwa na Niamey,Niger.Jamani sijui barafu ya mlima kilimanjaro itapona.Souce:TBC1
R.I.P mountain KILI
 
Rabda ndio Summer time yahuko kwani hata europe hua joto kali kupita Africa wakati wa Summer hayo ndio mambo ya Tabia nnchi yalivyo
 
Huku kwetu Arusha joto limefikia 34 centigrade usiku nimelala uchi wa mnyama!
 
Hiyo ni kwa Moshi mjini tu, lakini pembezoni ni shwari.
Lakini mimi naona joto la mererani limezidi hata la Moshi.
 
Kuna waliosema kwamba climate ya sehemu huwa-determined kwa muda wa 30yrs but mimi nakataa,climate haiwezi kuwa constant,it is ever changing.
 
altitude ya mlima kilimanjaro haiwezi kuathiriwa na joto hilo tusiwe na hofu
 
Kulingana na utabiri wa hali ya hewa uliorushwa na TBC1 jana usiku mjini wa Moshi leo utakuwa na joto kali kuliko yote afrika.
Mjini unaofanana na Moshi utakuwa na Niamey,Niger.
Jamani sijui barafu ya mlima kilimanjaro itapona.
Souce:TBC1

Hiyo ni variability tu, wala isikutishe mkuu. Kuhusu pale juu (kileleni) Kilmanjaro, temperature haijawahi kuwa above 0 degrees of Celsius....So, there is nothing like global warming affecting the of mount Kilimanjaro. In fact, there are investigative studies going on there, so let's wait for the outcomes of such studies so that we can fairly conclude......(No research, no right to speak).
 
Kulingana na utabiri wa hali ya hewa uliorushwa na TBC1 jana usiku mjini wa Moshi leo utakuwa na joto kali kuliko yote afrika.
Mjini unaofanana na Moshi utakuwa na Niamey,Niger.
Jamani sijui barafu ya mlima kilimanjaro itapona.
Souce:TBC1

inawezekana kutokana na mada yako joto la juu zaidi likawa 25c
 
Moshi kuna watu walipanda miti mingi, ni jambo jema. Lakini hawakuzingatia ni miti ya aina gani inahitajika, kwa mfano maeneo mengi kulipandwa miti ya kizungu amabayo uoto wake wa asili halingani na mazingira ya kilimanjaro.....hivyo basi inawezekana kabisa ikawa inachangia mno kubadilisha hali ya hewa ya moshi tofauti na zamani tulipokuwa tuna vaa makoti muda wote wa miezi 12!.
 
Back
Top Bottom