Moshi vijijini: wilaya yenye utofauti kidogo na nyingine..

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,616
14,731
Nimebahatika kufika na kuishi wilaya zaidi ya 19 za Tanzania bara! wadau, hii wilaya ya moshi vijijini iko tofauti sana, kimaendeleo japokuwa mazingira yake mengi ni ya vijijin..kama umefika dhibitisha hapa..
Kwa sasa Tandahimba is my lovely district
 
Utofauti gani? Moshi Vijijiji weye ulienda wapi??

Kuna milimani na lowlands!

Nalofahamu nimeambiwa over 80% ya nyumba zina umeme!

Changanua utofauti ukilinganisha na Tandahimba!!
 
sasa ulitaka yawe ya kimjini au??

kuna shule za kutosha, chuo cha ualimu, hospitali kubwa ya kilema, barabara za lami, maji salama, matawi ya benki, chani kiwiti, hali ya hewa safi,

hebu sema tandahimba kuna nini?? kutoka masasi mpaka tandahimba washaweka lami?
 
msiwe wapuuzi kushangilia thread kama hizi zina madhumuni ya kuleta ulalamishi wa kuwa sehemu fulani zimependelewa bila kuangalia kama kuna input ya wakazi wa sehemu husika!
 
Utofauti gani? Moshi Vijijiji weye ulienda wapi??

Kuna milimani na lowlands!

Nalofahamu nimeambiwa over 80% ya nyumba zina umeme!

Changanua utofauti ukilinganisha na Tandahimba!!

hiyo ni kwa ajili ya kazi kubwa iliyofanywa na ccm
 
sasa ulitaka yawe ya kimjini au??

kuna shule za kutosha, chuo cha ualimu, hospitali kubwa ya kilema, barabara za lami, maji salama, matawi ya benki, chani kiwiti, hali ya hewa safi,

hebu sema tandahimba kuna nini?? kutoka masasi mpaka tandahimba washaweka lami?
Ndo maana baada ya kugundua laslimali na mali zao, zimenufaisha watu wengine kuliko wao. Watu wa Mtwara sasa, wameadhimia kuwa hawataki tena utani juu ya lasmali zao.Kumbe nyie serikali hii ya CCM imeweletea maendeleo hivo, na leo mmewageuka. Kweli ukiowa mchaga ukiwa pesa jiandae na kifo. Wachaga wanaongoza kwa ufuasi chadema, siku moja msije tuambia chama cha mko wa kirimanjaro Arusha
Kutokana ubinafsi wenu.
 
Rombo ni jamhuri ya kipekee.ndio wilaya pekee itoayo usafiri wa moja kwa moja kwenda nairobi, dar, tanga mjini, karatu, singida, arusha, mombasa, n.k. Kwa sasa tunataka usafiri wa ndege, kwa hiyo karibuni wawekezaji.
 
Ndo maana baada ya kugundua laslimali na mali zao, zimenufaisha watu wengine kuliko wao. Watu wa Mtwara sasa, wameadhimia kuwa hawataki tena utani juu ya lasmali zao.Kumbe nyie serikali hii ya CCM imeweletea maendeleo hivo, na leo mmewageuka. Kweli ukiowa mchaga ukiwa pesa jiandae na kifo. Wachaga wanaongoza kwa ufuasi chadema, siku moja msije tuambia chama cha mko wa kirimanjaro Arusha
Kutokana ubinafsi wenu.

nenda shule itakusaidia angalau kuwa na upeo wa kunyambulisha mambo.
 
Wachaga hawajapendelewa ni jembe ni wachapa kazi, wasomii na watafutaji pesa!

Kama walivyo Wakikuyu Kenya na Waisraeli duniani!

Ni chachu kuleta maendeleo sehemu zingine za Jamhuri!
 
I LOVE MY ROMBO!!! Huangaiki na Huduma za Benki,maji, umeme full.... Hasa maeneo ya MKUU

Mkuu huko rombo lami si mmeekewa juzi juzi tu? rombo sijafika, ila nasikia baada ya Same, Rombo ndio inafuatia kwa uduni..
 
Back
Top Bottom