Morogoro watumia powertiller kusafirisha wagonjwa

tara

Senior Member
Jun 5, 2012
189
61
WAKULIMA wadogo wa Kijiji cha Kisaki wilayani Morogoro wameyataja matrekta madogo aina ya ‘Power tiller’ walioyanunua kwa kilimo kuwa mkombozi kwa wagonjwa hususani wajawazito baada kubadilishwa kuwa magari ya kuwabeba badala ya kazi ya kilimo.

Sorce:mwananchi.

Hii ndo tunaita maisha bora kwa wote......kwa ile ile kasi mpya zaidi,nguvu mpya zaidi na ari mpya zaidi.
 
Ukombozi u karibu,shida ya kukumbatia magamba ndiyo hiyo,rasilimali kibao Nchi hoi.Tafakari Chukua hatua 2015
 
Back
Top Bottom