Morogoro watafuna fedha za madai ya walimu

Nyamemba

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
845
446
wadau tangu serikali itoe fedha kwa ajili ya kulipa madai ya walimu ni mwezi sasa walimu hawajalipwa madai yao huku ikisemekana kuwa pesa hizo zimetafunwa na watumishi wa halmashauli huku walimu wakitishiwa kuwa wasiwe vihelehele la sivyo watashughulikiwa,baadhi ya walimu waliohojiwa wamesema hawajui hatma ya madai yao huku wakitaka kwenda kumuona mh PINDA
 
Back
Top Bottom