Elections 2010 Morogoro: Polisi wa FFU waingia kituoni kata ya Sultani

shade

Senior Member
Oct 29, 2010
155
39
kura imeishapigwa toka saa 10. vijana wa ccm na wana saccos za mgombea wa ccm wamekaa pembeni ya majumba tyalokaribu na kituo ambacho kipo shule ya kikundi.

Cha ajabu ni uwepo wa FFU. lakini pia mkuu wa uchaguzi hapa anaonekana yupo busy na simu pia kupngea na watu wanaokuja na kutoka na magari yao.

Narudi ku observe zaid na kuleta matokeo.
 
Back
Top Bottom