Moro Utd,A.Lyon na Villa Sqd kuchezea Chamazi Complex ya Azam FC ni sahihi?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,033
10,673
Timu za soka za Ligi Kuu Moro Utd, African Lyon na Villa Squad ndizo mpaka sasa zimetangaza rasmi nia yao ya kuutumia uwanja wa Chamazi Complex nje kidogo ya jiji, uwanja huo unaomlikiwa na washindani wao wa msimu ujao wa Vodacom PL nchini.Mimi napata shida kuamini kama kweli haki itatendeka dhidi ya timu hizo na mwenyeji wao Azam FC.Nahisi kuna conflict of interest-TFF wameliona hili kweli?
 
Sio Mbaya Yanga, Simba na timu zingine huwa wanashare Uwanja wa Taifa

More power to Azam watapata extra gate Money and taxes for their use...

Klabu kongwe, YANGA na SIMBA ziii sababu ya wazee wa timu hizo hawapendi maendeleo - wanapenda kula
 
Kuna tofauti kati ya timu kumiliki uwanja na kuwakaribisha wengine watumie kama kwao na U/Taifa ambao ni wa serikali.Vyovyote iwavyo Azam itanufaika na pointi toka timu hizo.
 
Tatizo ni huo umbali, na foleni za mbagala ukizingatia mashabiki wengi ni watumiaji wa daladala
 
Una uhakika na unalolisema...?? We mara ya mwisho kufika mbagala ilikuwa lini...??? Assume uwanja ungejengwa direction ya Morogoro road kuanzia kimara kuelekea Mbezi.. kungekuwa na afadhari katika foleni..??
 
Tatizo ni huo umbali, na foleni za mbagala ukizingatia mashabiki wengi ni watumiaji wa daladala
Ni kweli kuna foleni,ila nimesikia kuwa mechi zote za Simba na Yanga hazitapigwa huko.
 
Azam ashakuwa bingwa kibongo bongo tayari ana point 18,hebu angalia kama mechi ya mwisho itakayo amua bingwa na azam akamalizia mechi ya mwisho uwanjani kwake na mojawapo ya timu zilizotajwa hapo juu unategemea nn?hebu tusubiri tuone mwisho wa msimu
 
Ni pointi 24 mkuu,maana timu nne zitakipiga hapo H/A.Bingwa atatangazwa mapema tu hapo Chamazi.
 
Azam ashakuwa bingwa kibongo bongo tayari ana point 18,hebu angalia kama mechi ya mwisho itakayo amua bingwa na azam akamalizia mechi ya mwisho uwanjani kwake na mojawapo ya timu zilizotajwa hapo juu unategemea nn?hebu tusubiri tuone mwisho wa msimu
Ligi itakapoanza,ndo watu watakuumbuka maneno haya.
 
kushea uwanja sio ishu ngeni ni makubaliano tu kama vile Giussepe Meazza unavyotumiwa na timu za milan
 
hongera BAKHRESA kwa kuwekeza ktk uwanja!wewe ndie tajiri wa bongo wa ukweli,wengine mafisadi tuu!

At last i have someone in this boat, Hongera Bakhresa, kuhusu ufisadi NO comment But hongera nyingi saaana
 
Tatizo ni huo umbali, na foleni za mbagala ukizingatia mashabiki wengi ni watumiaji wa daladala

Wapi mbali? Posta! we unapafahamu mbagala? acheni kukeremua! ndio maana mnabanana ubungo tu! dar kubwa tembea uone
 
Back
Top Bottom