Moro mpoooooo!

aah kuna kijiwe kpya kimefunguliwa kinaitwa "Chilakale resort" kpo Bgwa( old Dsm road) nenden mkajionee wadau, kwa Morogoro cjadhan km kuna kijiwe knabmba km hko!
 
kama Sebene Ile bendi iliyokuwa inapiga DDC imesambalatika. Savoy siku hizi hamna kitu labda kule Iringa road kuna Vibendi vya Live lakini uwe makini. sasa wewe TUKO utampeleka wapi huyo dada wa watu au Makuti?
Kingtom Nyumbani Park Airport na IPO IPO full masebene
 
aah kuna kijiwe kpya kimefunguliwa kinaitwa "Chilakale resort" kpo Bgwa( old Dsm road) nenden mkajionee wadau, kwa Morogoro cjadhan km kuna kijiwe knabmba km hko!
Siku hizi ni Airport,IpoIpo,Nyumbani Park,Kingtom Nyamatandala Mzuanda Downtown nk
 
Savoy ilisambaratika, but nowadays wameibuka tena mkuu. Anyway, inategemea ni siku gani; Jumapili Mliti wanapiga, J3 Mliti tena, J4, J5 Hunters, Alhamisi Mliti, Ijumaa, J,mosi - Savoy, Kingtom, Kingstone, Makuti, Hunters, Magunila, Mliti, Mzuwanda, Rose Garden kote yapo masebene
Updates
Live Band siku hizi zinapatikana
Kingtom
Nyamatandala Mpya
New Airport Pub
Kambarage Bar round about ya Sua
Ipoipo Bar
Pia sehemu nyingine Za Starehe kama
Samaki samaki kihonda Bima
Motown
Downtown
Nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom