Morning glory leaves your eyes sexy the whole day...

chief,ww hujui ww hujui taabu ya ofisi zenye upungufu wa semina elekezi eeh?majungu yakifika kwa baba nanilii tu ananiachisha kazi na ma-morning glory tena yanakuwa kwishnei.manake alfajiri kufagia banda la kuku na kukamua maziwa nguruwe!
Na ubaya wake ni nini King'asti.....<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/happy.gif" border="0" alt="" title="Happy" smilieid="196" class="inlineimg" />
 
chief,ww hujui ww hujui taabu ya ofisi zenye upungufu wa semina elekezi eeh?majungu yakifika kwa baba nanilii tu ananiachisha kazi na ma-morning glory tena yanakuwa kwishnei.manake alfajiri kufagia banda la kuku na kukamua maziwa nguruwe!

hahahahahaaha pole King'asti...basi nitafanya mpango mmpate semina elekizi ya namna ya kufuta mdomo...:A S 103:
 
Nakumbuka nilivokuwa nachoshwa nakuwa na raha tu kila gari nayokutana nayo nawapungia mkono, nakumbuka mengi Kaizer
<br />
<br />
Hakika hii inatakiwa iwe quote of the day lol.. It makes me laugh again and again...
 
hehehe,hapo kwenye kufuta mdomo sawa,ila kuwe na chewing gum sugar free manake si unajua tena,lol!ww ni mutu ya mipango,venue ya semina iwe ngurdoto manake dodoma hata hapana mvuto!
hahahahahaaha pole King'asti...basi nitafanya mpango mmpate semina elekizi ya namna ya kufuta mdomo...<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/A S 103.gif" border="0" alt="" title="A S 103" smilieid="97" class="inlineimg" />
 
<br />
<br />
Hakika hii inatakiwa iwe quote of the day lol.. It makes me laugh again and again...
Hivo eee na wewe unakuwaga hivo? maana kila gari inayopita unapunga mkono, ukiona watoto kwa school bus ndio usiseme unawapungia tu
 
Back
Top Bottom