Mood swings...wadada mbona mnakuwa hivyo?

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Mara nataka ice cream saa saba usiku...mara nakuchukia kama nini...mara hamtaki tv ili mradi vurugu tu..
je kuna namna gani ya kupunguza hormones hizo za hasira na kulialia pia
kuwachukia waliowadungua ?
mna visa nyie!
hebu wenye experience ya vituko hivyo tujuzane..
hata nyinyi akina Ashadii mtuambie mlikuwa mna vituko gani?wengine nasikia mwapenda harufu ya ferry na hamlali na wenzi wenu....
karibuni
 
wavumilie tu mkuu, ndiyo ulezi wenyewe tu... afterall it's just a matter of time
 
ha ha ha, pole.
Usinikumbushe mtu alinuniwa wiki 2 kwa kusahau Ice cream siku moja.

Its normal, very normal, usivibebe kifuani anavyofanya.
 
huwa ni msimu.

Ukifika msimu wa mapera hakikisha hayaishi nyumbani
utaambiwa kwenda sokoni usiku

ukifika wa udogo, jenga kichuguu home
vinginevyo utafuata Dodoma

na mfano akianguka bahati mbaya usicheke, atalia hata mwezi na lawama zitakurudia wewe.

hahaha..mtu anataka mapera usiku
 
Lol! Kuitwa baba sio kazi rahic lazma usweat kidogo! Hata deki utapiga na nguo utafua kwa kipindi hicho..
 
huwa ni msimu.

Ukifika msimu wa mapera hakikisha hayaishi nyumbani
utaambiwa kwenda sokoni usiku

ukifika wa udogo, jenga kichuguu home
vinginevyo utafuata Dodoma

na mfano akianguka bahati mbaya usicheke, atalia hata mwezi na lawama zitakurudia wewe.
kongosho naona wewe ulikuwa gwiji wa pregnancy anger
 
Lol! Kuitwa baba sio kazi rahic lazma usweat kidogo! Hata deki utapiga na nguo utafua kwa kipindi hicho..

kweli deki na kufua muhimu maana kile kitumbo inakuwa vigumu kuzifanya..lakini naona huwa ni tofauti kwa mtu na mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom