VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Badala ya Tanesco kuwa na monopoly ya sole provider wa umeme Tanzania Kampuni nyingine ziruhusiwe kuprovide umeme. Kama ilivyotokea kwa TTCL... Tanesco inaweza kuendelea kuwa inalease miundombinu yake kwa providers tofauti....
Faida ya kuwa na providers tofauti itakuwa pamoja na ushindani wa kibiashara kwahiyo bei kupungua na huduma kuwa bora
Wenzetu UK wanazaidi ya kampuni 18 zinazotoa huduma ya umeme kuna mita kwenye nyumba na mtu unalipa kulingana na units unazotumia; unaweza kubadilisha supplier wakati wowote unaotaka; na bei kutoka supplier mpaka supplier ni tofauti kwahiyo unaweza ukasave pesa...