Monopoly and Expansion za Kanisa ni Tishio kwa Nchi

Yeye anataka kufanya biashara bila upinzani? bongo lala kichwa maji

Tatizo siyo kufanya biashara bila ya mpinzani. Tatizo ni kwamba unashindana na mashirika ambayo hayalipi kodi; lakini yanafanya biashara kama mtu mwingine ambaye analipa kodi. Huoni kama hili tatizo? Unajua tatizo litakapotokea baadaya kama haya mashirika ya dini yatakuwa monopoly ktk sector? bila ya kulipa kodi?

Hii nchi ilijaribu Ujamaa na ulishindwa vibaya sana. Sasa kwanin tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele? Huu mpango wa Kanisa kutoa huduma kwa wananchi ni kuwarudisha nyuma WTZ. Unawafanya WTZ kuwa wategemezi zaidi wa misaada. Taifa halijengwi kwa misingi hii.
 
I'm Businessman-sipendi kuona monopoly ktk kila sector ya biashara ambayo itanifanya niogope kuinvest. Now- monopoly ya Kanisa?

Kanisa sasa hivi limejiingiza ktk mpango maalum wa kufanya biashara ya elimu, umeme!! nk. Vyuo vya Kanisa St. vimejaa kibao!! Hivi tupo ktk karne ya 18?

Threat nyengine ya Kanisa kuwa ktk biashara-monopoly ni amani ya nchi. Hivi serikali inajua madhara ya Taifa lenye dini mbili (Islam and Christian) kubwa ktk nchi? Je Kanisa linajua madhara ya kuwa monopoly ktk kila sector?

Let's be honest- Tunaoimba serikali isimamishe mpango huu wa Expansion wa Kanisa- ni Tishio kwa amani ya nchi. Tunaomba serikali izuie mpango huu wa expansion. Madhara yake ni makubwa kuliko faida zake.

wewe umeshindwa kutaja hata moja ya hizo athari/ madhara. unaongea juu juu tu. jipange weka hayo madhara hapa au peleka huko serikalini kwenu, hujafanya kazi yako vizuri.
 
Tatizo unaweza kuwa una point ila hutaki kutazama ukweli kwa kugeuza shilingi pande zote mbili

Ni sawa unajua mtoto wako shuleni ni mtoro. Yakija matokeo unamwambia kuwa unajua kafeli sababu shule uliyompeleka haina walimu wazuri. Hata kam ni kweli , huyo mtoto hata ukimpeleka shule gani atakuwa wa mwisho sababu umesha udhaifu wako wa kutetea uzembe wake..

Kama ni tishio la kanisa ni dogo , tishio kubwa zaidi ni incomptency ya Viongozi.
Tishio ni pale viongozi wanaposhiriki kuua shirika kama TANESCO.

Before pointing the fingure to the kanisa rusha mawe kwa rubani wa meli na watu wake. Alafu ndio tue kwa kanisa
 
I'm Businessman-sipendi kuona monopoly ktk kila sector ya biashara ambayo itanifanya niogope kuinvest. Now- monopoly ya Kanisa?

Kanisa sasa hivi limejiingiza ktk mpango maalum wa kufanya biashara ya elimu, umeme!! nk. Vyuo vya Kanisa St. vimejaa kibao!! Hivi tupo ktk karne ya 18?

Threat nyengine ya Kanisa kuwa ktk biashara-monopoly ni amani ya nchi. Hivi serikali inajua madhara ya Taifa lenye dini mbili (Islam and Christian) kubwa ktk nchi? Je Kanisa linajua madhara ya kuwa monopoly ktk kila sector?

Let's be honest- Tunaoimba serikali isimamishe mpango huu wa Expansion wa Kanisa- ni Tishio kwa amani ya nchi. Tunaomba serikali izuie mpango huu wa expansion. Madhara yake ni makubwa kuliko faida zake.

aisee we ndo tikiti maji kweli kweli. waambieni waarabu hela wanazotoa kujengea madrassa wazielekeze kwenye elimu dunia, mtatoka tu. Yaani unataka wakristo wawe wanalala kanisani kungojea muda wa kusali sala ya malaika wa bwana? Tikiti maji mkubwa weeeeeee. na bado kuna mengi yanakuja, ushasikia mikopo ya kanisa kwa wanawake eeeeh, nyie endeleeni kuwafungia ndani hao wake zenu ndani kutwaaaaaa nzima
 
Tatizo siyo kufanya biashara bila ya mpinzani. Tatizo ni kwamba unashindana na mashirika ambayo hayalipi kodi; lakini yanafanya biashara kama mtu mwingine ambaye analipa kodi. Huoni kama hili tatizo? Unajua tatizo litakapotokea baadaya kama haya mashirika ya dini yatakuwa monopoly ktk sector? bila ya kulipa kodi?

Hii nchi ilijaribu Ujamaa na ulishindwa vibaya sana. Sasa kwanin tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele? Huu mpango wa Kanisa kutoa huduma kwa wananchi ni kuwarudisha nyuma WTZ. Unawafanya WTZ kuwa wategemezi zaidi wa misaada. Taifa halijengwi kwa misingi hii.

nenda hospitali kuna uwezekano mkubwa una ugonjwa utakaopelekea wewe kuwa Mwehu!
 
Tatizo unaweza kuwa una point ila hutaki kutazama ukweli kwa kugeuza shilingi pande zote mbili

Ni sawa unajua mtoto wako shuleni ni mtoro. Yakija matokeo unamwambia kuwa unajua kafeli sababu shule uliyompeleka haina walimu wazuri. Hata kam ni kweli , huyo mtoto hata ukimpeleka shule gani atakuwa wa mwisho sababu umesha udhaifu wako wa kutetea uzembe wake..

Kama ni tishio la kanisa ni dogo ,
tishio kubwa zaidi ni incomptency ya Viongozi.
Tishio ni pale viongozi wanaposhiriki kuua shirika kama TANESCO.

Before pointing the fingure to the kanisa rusha mawe kwa rubani wa meli na watu wake. Alafu ndio tue kwa kanisa

Ni true. Hiyo issue ya viongozi ndiyo inayoyasababisha nchi yetu kuwa na maamuzi ya kijinga. Sema hii issue ya Monopoly ya Kanisa ktk kila sector ni kubwa sana na ina madhara kwa kila MTZ.

Kwanza, kuna issue ya Monopoly ambayo itapunguza kuongeza ufanisi ktk sector nyingi sana za biashara. Monopoly ya Kanisa haitakuwa na upinzani ktk sector nyingi kwa sababu watu wengi watanunua bidhaa kwa misingi ya dini walizokuwa nazo.

Pili- Serikali itakosa pato kubwa la Kodi, ambalo litafanya Wafanyabiashara, WTZ, Wafanyakazi, kulipa kodi zaidi. Lazima ujue mashirika ya dini yanapata msamaha wa Kodi. Sasa nchi itaendelea vipi bila ya mapato?
 
Wako kibiashara zaidi tofauti na uislamu pia waislam as individual ni wafanyabiashara kuliko christian as individual
 
aisee we ndo tikiti maji kweli kweli. waambieni waarabu hela wanazotoa kujengea madrassa wazielekeze kwenye elimu dunia, mtatoka tu. Yaani unataka wakristo wawe wanalala kanisani kungojea muda wa kusali sala ya malaika wa bwana? Tikiti maji mkubwa weeeeeee. na bado kuna mengi yanakuja, ushasikia mikopo ya kanisa kwa wanawake eeeeh, nyie endeleeni kuwafungia ndani hao wake zenu ndani kutwaaaaaa nzima

Acha jazba. Zungumza kiuchumi, tuangalie benefit na athari za mashirika ya dini yanapokuwa yanacontroll uchumi wa nchi.
 
I'm Businessman-sipendi kuona monopoly ktk kila sector ya biashara ambayo itanifanya niogope kuinvest. Now- monopoly ya Kanisa?

Kanisa sasa hivi limejiingiza ktk mpango maalum wa kufanya biashara ya elimu, umeme!! nk. Vyuo vya Kanisa St. vimejaa kibao!! Hivi tupo ktk karne ya 18?

Threat nyengine ya Kanisa kuwa ktk biashara-monopoly ni amani ya nchi. Hivi serikali inajua madhara ya Taifa lenye dini mbili (Islam and Christian) kubwa ktk nchi? Je Kanisa linajua madhara ya kuwa monopoly ktk kila sector?

Let's be honest- Tunaoimba serikali isimamishe mpango huu wa Expansion wa Kanisa- ni Tishio kwa amani ya nchi. Tunaomba serikali izuie mpango huu wa expansion. Madhara yake ni makubwa kuliko faida zake.
wewe si mfanyabiashara, kama unafanya biashara basi itakusumbua sana

they say "keep an eye on the ball" na sio kuangalia mengine

afterall sioni wapi duniani biashara za watu wa dini zinakatazwa
 
Wako kibiashara zaidi tofauti na uislamu pia waislam as individual ni wafanyabiashara kuliko christian as individual

True. Lakini tuangalie faida na madhara yake. Unajua secular system imeanza kutumika baada ya mifumo ya Kidini ilishindwa kuleta amani ktk nchi ambazo zinawafuasi wa dini, au madhehebu tofauti, na wale wasiokuwa na dini kabisa. Sasa kwa nini sisi TZ tunafanya yale ambayo yalishindwa ktk nchi nyengine?

Kanisa sasa hivi lina expansion zaidi, lakini halina malengo ya kumaximize profit au kulipa kodi. Hili ni tatizo kwa nchi. Kanisa litakapokuwa linacontroll kila sector lets assume- Je nchi itakuwa vipi na growth? Je tunarudi kwenye Ujamaa? nani atakaelipa kodi kucover hii misamaha ya kodi ya haya mashirika ya dini?
 
wewe si mfanyabiashara, kama unafanya biashara basi itakusumbua sana

they say "keep an eye on the ball" na sio kuangalia mengine

afterall sioni wapi duniani biashara za watu wa dini zinakatazwa

TZ ni nchi changa ambayo haina pato kubwa sana linalotoka ktk rasilimali kama vile natural resources. TZ inategemea misaada zaidi. Kuendelea kwa TZ kutategemea ufanisi wa ukusanyaji kodi.

Sasa kama Kanisa lina control uchumi wa nchi nani atakaelipa kodi kuendesha serikali? Hii Monopoly ya Kanisa ni tishio kwa uchumi wa nchi also na amani ya nchi. Na kama unabisha fanya research ili ujue ukweli.
 
Kwani kabisa limeanza leo Tanzania kutengeneza umeme? au kuchimba visima vya maji? Njia pekee ya kuzuia hayo ni kuhakikisha serikali iliyoko madarakani inaondolewa. Sasa watu wanaiomba serikali hiyo hiyo ifanye kitu ambacho haiwezi ni kwanini wanafikiri itawasikiliza?
 
Mh ! Kanisa lisitoe huduma kisa halilipi kodi?
Hivi nyie watanzania si ndo mnataka wawekezaji wa ndani ?
Kanisa linaposhiriki shughuli za maendeleo kupunguza makali ya maisha bila kuhubiri dini ktk shughuli hizo kuna kosa gani ?
Ulishawahi kwenda hospitali ya kanisa ukaombwa rushwa kama hospitali za umma ?,ufanisi wa huduma zinazotolewa na wanaotumia kodi zetu 100% na wasiolipa kodi unalingana ?
Fursa ipo, ulinyimwa kuitumia wakapewa kanisa ?
Lengo la kukusanya kodi ni kutoa huduma kwa walipa kodi,hawalipi kodi lakini wanatoa huduma ,si sawa na kodi inayokusanywa ili kulipa posho na kuweka heshima bar...
Kama swala ni ushindani,toeni ushauri kwa watunga sheria ili shughuli zenye mlengo wa kutengeneza "profit" not surplus income zilipe kodi stahili,lakini ni watz hao hao mliotaka kuandamana wakat serikali ilipofuta misamaha kwa mashirika ya kidini au kwa kanisa pekee kufutiwa ingekuwa sawa ?
Miradi ya maendeleo inakuwa tishio vipi kuhusu uchochezi wa redio naniiii ya moro mbona haujauongelea
 
Arrangements lazma zifanywe pale taasisi za kidini(DINI ZOTE) zinapojihusisha na mambo ya biashara na utoaji huduma unaolipishwa. Sku hizi wajanja wamekuwa wengi ambao hutumia dini kwa maslahi yao ya kibiashara kama kupata exemptions na kutokulipa kodi na hivyo maximize profit in the process, kuikosesha serikali mapato na kuondoa fair competition. Nadhani hii ni changamoto kwa vyombo vya ukusanyi kodi na usimamizi wa fairness kwene ufanyaji biashara, has nothing to do with beliefs a.k.a MYTHS or religions.
 
Wewe upo sawa kweli au ni kichaa ?kwahiyo huo umeme utawaka kwa Wacristo tu? .Na hospital mfano Kcmc au Bugando inatibu Wacristo tu? Wacheni wivu wa kike .
Hawa wenzetu mimi nazani Serikali wakati mwingine iwape upendeleo maalumu kwasababu wao kama wao hawajiwezi, wee angalia wanavyolalamikia mifumo ya kiutawala, Baraza la mitihani kuwabana na mengineyo mengi, utadhani wote ni watoto
 
Wakuu mimi ni mkristo lakini kiukweli kabisa katika swala zima la kiuchumi wa nchi hili la dini kufanya biashara nyingi lina athari kubwa sana kiuchumi ukizingatia hayalipi kodi.
Kama tutaishia kuangalia tu tunapata matibabu na elimu basi hapo huwezi kuona madhara yake.
 
Ndugu sikia hii!

Mazengo secondary iliyopo dodoma kwa sasa chuo kikuu na nyingine nyingi unazozijua ziwe mfano.

Kanisa limeenea karibu sehemu nyingi za nchi hivyo sifikirii kama lipo tayari kuona members wake wanakosa huduma za kijamii kama vile maji,nguo,elimu,chakula nk eti tu kwa sababu ya hofu uliyonayo wewe ya ku monopoly.

Kwa wanaofuatilia historia wanaweza jua kwamba hata mapinduzi ya habari yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na kanisa pale radio tumaini ilipokuwa radio ya kwanza binafsi nchini.

Hatutakiwi kuwa na hofu ya maendeleo yanayoletwa na kanisa bali tunatakiwa kuishauri serikali ambayo wewe tena kwa bahati mbaya au nzuri uliipigia kura ijaribu kufanya mambo ambayo yanafanywa na kanisa kwa sasa kama vile kuchimba visima kujenga shule za kutosha na hosptali ili kuondoa mzigo mkubwa kwa kanisa.

Pamoja na yote hayo Kanisa pia linatakiwa kufanya hayo kwa lengo moja la kuisaidia jamii na si vinginevyo na huu ni wakati mzuri kwa kila taasisi kuhakikisha inafanya iwezavyo kusaidia kupunguza matatizo yanayowakabili members wake.

Tukiogopa ya kanisa basi hata JF Monopoly and Expansion INAWEZA IKAWA TISHIO SIKU SI NYINGI TENA HATA KUUNDA SERIKALI YAKE so mimi sioni sababu ya kuwa na hofu katika hili,mfano JF tayari kuna saccos badae kuna jumuiya ya wasio na ajira nimesikia kuna watu wanashamba kubwa tu,vp kama tutamchagua Rais wa JF Tukampta na Prime mister wetu hapo napo hofu yako itapimwa na nini?

Mimi na filiri ni bora ya vyou,hosptali kwani huduma zitolewazo hazibagui dini,jinsia na rangi kuliko kuwa na misikiti ya kina kanali gadafi kila pembe ya nchi tena mbaya zaidi hadi kwenye viwanda na kwenye huduma nyingine za kijamii kama vile petro station mbalimbali(mtoa mada hili ulitakiwa kujengea hofu kabisa kwani halitutendei haki wengine,ama ni kusema hizo sheli na viwanda ni maalumu kwa sisi wenye vikofia vyeupe tuuu??? vipi kama wenzetu wakisusia bidhaa zetu????kama ni hivyo jengeni basi pembeni na makanisa basi tuone hou usawa basi kuliko huu ubaguzi wa wazi huku tukipinga maendeleo thabiti yanayoletwa na kuchangiwa na kanisa tena bila ubaguzi wowote.

Tafakari,jadili na uchangie.
 
I'm Businessman-sipendi kuona monopoly ktk kila sector ya biashara ambayo itanifanya niogope kuinvest. Now- monopoly ya Kanisa?

Kanisa sasa hivi limejiingiza ktk mpango maalum wa kufanya biashara ya elimu, umeme!! nk. Vyuo vya Kanisa St. vimejaa kibao!! Hivi tupo ktk karne ya 18?

Threat nyengine ya Kanisa kuwa ktk biashara-monopoly ni amani ya nchi. Hivi serikali inajua madhara ya Taifa lenye dini mbili (Islam and Christian) kubwa ktk nchi? Je Kanisa linajua madhara ya kuwa monopoly ktk kila sector?

Let's be honest- Tunaoimba serikali isimamishe mpango huu wa Expansion wa Kanisa- ni Tishio kwa amani ya nchi. Tunaomba serikali izuie mpango huu wa expansion. Madhara yake ni makubwa kuliko faida zake.

yaa serikali iingilie ili nyie muendelee kununua masupika na kuyapakia katika fuso za kukodi kuzurura na kupayukia wana wa mnyaazi Mungu kuwa Yesu c MUNGU then nchi itasogea kweliwkweli
 
I'm Businessman-sipendi kuona monopoly ktk kila sector ya biashara ambayo itanifanya niogope kuinvest. Now- monopoly ya Kanisa?

Kanisa sasa hivi limejiingiza ktk mpango maalum wa kufanya biashara ya elimu, umeme!! nk. Vyuo vya Kanisa St. vimejaa kibao!! Hivi tupo ktk karne ya 18?

Threat nyengine ya Kanisa kuwa ktk biashara-monopoly ni amani ya nchi. Hivi serikali inajua madhara ya Taifa lenye dini mbili (Islam and Christian) kubwa ktk nchi? Je Kanisa linajua madhara ya kuwa monopoly ktk kila sector?

Let's be honest- Tunaoimba serikali isimamishe mpango huu wa Expansion wa Kanisa- ni Tishio kwa amani ya nchi. Tunaomba serikali izuie mpango huu wa expansion. Madhara yake ni makubwa kuliko faida zake.

kanisa halijengi ma-petrol station kati ya maili moja na chalinze. Linapeleka huduma kule waliko wananchi maskini, mbali na miji ya kibiashara. Usipotoshe jamii kwa hoja hafifu na dhaifu yenye mtizamo wa wivu kitoto. We uliyebahatika kupewa huduma hii na serekali tunayolipia kodi wote, basi uwe na huruma na wale wasiopata bahati hiyo na uache wivu wa kitoto wao wanapopata mkombozi wa kuwasaidia. Sera hii (udini) ni ya watu wavivu wa kufikiri na kutafiti.
 
Back
Top Bottom