Mongela wa PSPF asimamishwa kazi...

makamba alisema, kama wewe ni mbeba zenge na mwanao atalisi kazi hiyo hiyo, wao wanasiasa, watoto wao watalithi nafasi zao katika chama na serikari.... hapo sasa

Yaani kila penye ulaji ni watoto wa vigogo siyo? Nimesoma leo jinsi Tanroad ilivyokuwa chaka la watoto wa vigogo kutuibia. Hapa hujaenda BoT au kwenye balozi zetu nje, bandari, uhamiaji, TRA. Mwe! Twesha!
 
cha ajabu eti anatumia jina la mama yake..kwanini asitumie jina la baba yake kama wengine wote tufanyavyo kama ni mwanaume wa kweli....mwanaume mzima ovyoooo

Mkuu wewe una uhakika gani kama mama yake atumii jina la mume wake?
 
Inaniuma kusimamishwa kazi kwa Mkristo mwenzangu. Naamini atarudishwa tu kazini.
 
Sishanagai sana huyu jamaa (mtoto) nasikia aliwahi kufanya kazi kampuni ya sigara na alifukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu, alikuwa analazimisha apewe cheo hapo sigara kwa kutumia jina la mama yake.

Hakuwahi kufanya kazi TOTAL?
 
hivi umeshafatilia dau wa nssf anavyosemwa humu jamvini kisa muislam? imefikia hatua wanapaita nssf madrasa,

Acha hizo mkuu Ponera, habari za udini msizipe nafasi sana, hazina tija
 
Last edited by a moderator:
Ndio hao wakati MAMA alipokuwa Maliasili na UTALII walikuwa wanakwenda kila NCHI Mapumzikoni; SERIKALI ya CCM inalipa
 
Ni kweli mkuu.........naye jeuri kwelikweli.....niliomba mkopo na nikapita process zote (bila kutoa rushwa wala kumjua mtu) kufika kwake akaweka ngumu kabisa.....bila kutoa sababu yoyote ile..... hata wasidizi wake walimshangaa sana.....anyway live moves on!
we ulifanya spelling check kwenye barua yako ya kuomba mkopo kweli? :A S-rap: maana hapa penyewe sijakuelewa umemaanisha nini?
 
makamba alisema, kama wewe ni mbeba zenge na mwanao atalisi kazi hiyo hiyo, wao wanasiasa, watoto wao watalithi nafasi zao katika chama na serikari.... hapo sasa

january na rizmoja wakiwa wanapata kilaji wana msemo wao kuwa"mtoto wa nyokaa, ni nyokaa na mtoto wa raisii, ni raisii.
 
Magufuli ataumiza wengi. Maana kama ulipata nafasi kwa mgongo wa mama..you are in trouble-at some point.

After all nani aliwahi kuwaza kwamba vyeti fake vinaweza peleka kilio? Times change jamani!
 
October 2012 magufuli alikuwa rais au mimi hiyo tarehe sijaweza kuisoma maana kuna mtu kaandika magufuli ataumiza wengi
 
Back
Top Bottom