Money maker pump inafaa kwa kilimo cha umwagiliaji????

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Habari wana JF.
Napenda kujua kama hi pump ya maji aina ya"MONEY MAKER PUMP"kama inaweza kunisaidia kwa kilimo cha bustani maeneo ya MOROGORO bush?ninampango wa kulima hk 10 za nyanya,matango na mahindi kwa ajiri ya kuyauza yakiwa mabichi.
Naombeni ushauri tafadhari.
Mkuu malila kama upo jirani msaada tafadhari,maana nina imani na wewe.
 
heka kumi haifai capacity yake ni 2 acres soma
Super MoneyMaker

The Super MoneyMaker Pressure Pump was launched in October 1998, in response to a demand by farmers for a pump that can push water uphill as well as simply pulling it up from the source. This means it is suitable for use on steeply sloping land where the water source may be at the bottom. Thousands use it to pump water from hand-dug wells, rivers, streams, lakes and ponds. It is ideal for sprinkler irrigation, filling overhead water tanks, or for use with nozzles and sprays attached to the end of the delivery hose. This powerful pump can draw water up from 23 feet (7m) and has a total pumping head of 46 feet (14m). It can be used to irrigate up to 2 acres of land.

naona watembelee duka lao soko la kkoo au google kickstart utapata maelezo zaidi
 
mi naomba kujua bei yake.. nimejaaribu kutumia google naona haijanisaidia.. Nina project ya bustani ya kama heka mbili.
 
In Tanzania

KickStart - Tanzania
P.O. Box 33605, Dar es Salaam
Serengeti Rd/Garden Road
Plot No. 57/Hse No. 400
Mikocheni B, Dar es Salaam
Tanzania

Tel: +255.22.2.773400
Hotline: +255.22.2.773458
Fax- +255.22.278.0433
E-mail: kickstart.tz@kickstart.org

kama ni kujua tu bei kwanza wapigie hizi simu au email, ila duka wanalo kkoo sokoni
 
heka kumi haifai capacity yake ni 2 acres soma
Super MoneyMaker

The Super MoneyMaker Pressure Pump was launched in October 1998, in response to a demand by farmers for a pump that can push water uphill as well as simply pulling it up from the source. This means it is suitable for use on steeply sloping land where the water source may be at the bottom. Thousands use it to pump water from hand-dug wells, rivers, streams, lakes and ponds. It is ideal for sprinkler irrigation, filling overhead water tanks, or for use with nozzles and sprays attached to the end of the delivery hose. This powerful pump can draw water up from 23 feet (7m) and has a total pumping head of 46 feet (14m). It can be used to irrigate up to 2 acres of land.

naona watembelee duka lao soko la kkoo au google kickstart utapata maelezo zaidi
Poa mkuu nimekuelewa vema!
 
Eka kumi, kama una fedha yapata milioni na laki km tatu hv, bora ununue pampu yenye nguvu isiyopungua horse power 8, hii ina uwezo wa kuvuta maji toka umbali wa mita hadi nane na kuyapeleka hadi umbali wa mita mia tatu, utafanya shughuli zako kwa raha, inatumia dizeli na uwezo wa kufanya kazi hadi saa sita mfululizo. Naitumia mm
 
Wapi inauzwa mkuu?
 
Mkuu ni Pump gani inafaa kufanya irrigation kwenye ekari 100,nataka kuchimba kisima shambani kwa ajiri ya kumwagilia tafadhali naomba muongozo ni pump gani inafaa kwa mazingira hayo
 
Kabla ya kutafuta pump ni vema ukapima eneo lako kujua kiasi cha maji kilichopo chini ya ardhi na yako umbali gani. Ukipata taarifa hizo pump zipo za kupiga mzigo wa aina yeyote.

Nimeshapima yapo ya kutosha nataka kuchimba kisima ila sina idea ni pump gani na irrigation system gani inafaa,sprinkler? drip (no it's very expensive) mawazo tafadhali
 
Yapo mambo ambayo ni lazima yajulikane kabla ya kununua pump.

1. Pump itavuta/ itasukuma maji kutoka kina cha mita ngapi toka chini ya ardhi.

2. Kisima chako kinazalisha maji kiasi gani kwa saa, hili ni muhimu kwani kama kisima kinazalisha maji lita 1,000 kwa saa na ukafunga pump yenye uwezo wa kuvuta maji lita 1,500 kwa saa, ni dhahiri pump yako itakausha maji na pump itaungua, hivyo kujua uwezo wa kisima kuzalisha maji na urefu wa kisima ni vitu muhimu kabla hatujakushauri aina gani ya pump ukanunue.
 
Habari wana JF.
Napenda kujua kama hi pump ya maji aina ya"MONEY MAKER PUMP"kama inaweza kunisaidia kwa kilimo cha bustani maeneo ya MOROGORO bush?ninampango wa kulima hk 10 za nyanya,matango na mahindi kwa ajiri ya kuyauza yakiwa mabichi.
Naombeni ushauri tafadhari.
Mkuu malila kama upo jirani msaada tafadhari,maana nina imani na wewe.
mkuu ulishafanikisha zoezi?
 
Mkuu ni Pump gani inafaa kufanya irrigation kwenye ekari 100,nataka kuchimba kisima shambani kwa ajiri ya kumwagilia tafadhali naomba muongozo ni pump gani inafaa kwa mazingira hayo
Habari mkuu,ulifanikiwa kuhusu mpango wako huu na ulifanikiwa vipi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom