Money Laundering: Tanzania Imposes Cash Limit on traveler

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,466
9,028
Wasalaam wanajamvi,

tafakarini juu ya hiki kipande cha habari ili tujue kuwa ni muenelezo wa sera zetu za 'kinafiki' au kuna ukweli.

People entering or leaving the country must inform officials of cash of financial instruments in their possession – including travellers’ cheques or convertible securities.

Regulations awaiting the signature of Minister for Finance Mustafa Mkullo before being made public.

It is estimated that between 1995 and 2011, Tanzania lost more than Tsh 300 billion ($300 million) through money laundering. This sale of narcotic is the source of much of this money.

Source: theeastafrican.co.ke

My take:
Inaelekea baada ya kukomba Hazina na kujihakikishia kuwa wamewekeza vya kutosha, wakuu wetu wanakuja kukumbuka ‘kuvuta shuka asubuhi’ wakati yamebakia ‘magunzi’.

Wanajanvi, can this rescue the collapsing economy of our dear TZ!!!!???
 
alafu inaelekea huyu mkuu analeta wazo hili huku akijua kinachoendelea/kilichokuwa kinaendelea 'nyuma ya pazia' ili ionekane kama kuna sera nzuri za uchumi.
Ninavyojua mfumo wetu wa uchumi ulivyoharibika ili suala na mengine kama ni vigumu kutekelezeka kwa maana wanaohusika na uharibifu wa uchumi wetu asilimia kubwa (kama sio wote) ndeio waliopewa jukumu la kuusimamia
 
Wahusika ni wote waliopewa jukumu la kuusimamia,hakuna aliyebora wengine ni wazuri kwa maneno na kimtazamo mbele ya umma lakini ukiingia ndani wote ni jamii moja.
 
ndio maana nakuwa na wasiwasi kuwa ni muda gani itatuchukua kuamini kuwa tunachosema na kuplan ndicho kilekile tunachokusudia kukitekeleza. Hii inaweza kuweka tofauti ya mtu aliyejaza vitabu ndani lakini hajawahi hata kuvisoma na msomi asiye na vitabu ndani mwake. Maana plans na sera ni zimejaa kwenye mashelves na makabati ya taasisi za watawala
Lkn bado watu wanabeba in the name of investors
 
Back
Top Bottom