Mona hatuna sheria za kutulinda kwenye E-commerce?

Jimjuls

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
483
160
Wadau naona E commerce inakuwa zaidi na zaidi ila sasa cha kushangaza ukifanya biashara online na bahati mbaya ukalanguliwa hakuna sheria ya kukutetea.Hii imekaa vipi...au zipo ila mimi sizifahamu?
 
Mmh lakini si kunakitengo cha polisi kinachofuatilia hayo mambo,pale makao makuu sema tu hakifahamiki sana.
 
Sasa ile kesi ya yule raia kutoka nje aliyenasa nywila (password) za wateja wa CRDB Bank pale DSM imeishia wapi?
 
Wadau naona E commerce inakuwa zaidi na zaidi ila sasa cha kushangaza ukifanya biashara online na bahati mbaya ukalanguliwa hakuna sheria ya kukutetea.Hii imekaa vipi...au zipo ila mimi sizifahamu?

Kaka cha kwanza unapotaka kufanya biashara na mtu aliye nchi za nje kama si mtanzania unatakiwa ufike kwanza ubalozi wa nchi yake utambue kama kweli yy anahusika na biashara hy wanamfahamu?baada ya hapo you can go on ss tatizo tulino nalo wabongo hatufatili taarifa hz ili ikitokea mambo yakaenda ndy sivyo ujue unaanzia wapi!mfano mzr katika ununuzi wa ni wengi wamezurumika sana kwa kuwa na full evidance na unae taka fanya nae biashara!
 
Wadau naona E commerce inakuwa zaidi na zaidi ila sasa cha kushangaza ukifanya biashara online na bahati mbaya ukalanguliwa hakuna sheria ya kukutetea.Hii imekaa vipi...au zipo ila mimi sizifahamu?

free mp3 download Mabeste feat. Jux Vuitton_Baadae Sana
 
Back
Top Bottom