Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
hata Dar es salaam ni eneo la zanzibar
Soma historia vizuri................Dar es Salaam haikuchukuliwa kwa mkataba kama Mombasa.......!
hata Dar es salaam ni eneo la zanzibar
Soma historia vizuri................Dar es Salaam haikuchukuliwa kwa mkataba kama Mombasa.......!
.....yew guys are damn full of petty malice, inuendo and alot of idle talk i.e. anyone who is for secession. Kenya has its Mbsa port, no need to use the dar or tanga facility, and infact Lamu port is taking shape already. If mrc was a threat non of the above devts would be a priority. Does anyone in here understand the ramifications involved in secession anyway. Be prudent enough to analyse the Kenyan government actions as partains to this.
Wakati Zanzibar ilitengana na Tanzania from the greater Tanganyika, at least walikuwa na sababu zinazoeleweka, kuwa volatile political conflicts and discords katika vyeo vya serikali was the reason wasomi wao waliitaja kama sababu mojawapo za kutengena. Lakini Mombasa, aka MRC wako na sababu gani halali ya kuwafanya kutaka watengane na Kenya na kuanza nchi yao?/
kwanza, wameshindwa kusafisha mji wao kitabia, their morals are highly dispeakable, ushoga ndio huo umeenea kutoka mji-wa-kale mpaka Ukunda. Pili, ma drug barons wamejaa humo na wamewaribu vijana kwa madawa ya kulevya, mpaka vijana hawawezi kutafuta ajira. Tatu, ukarimu wao unalenga watu wa asili moja. Hautapata mtu wa pwani akimkarabisha mtu wa bara kama wangetaka watu waelewe. Nne, it takes more than emotions kujaribu kujitia pambani na kutaka nchi yao wenyewe.
Ni lazima wawe na shukrani jinsi ambavyo wameweza kukaa kwa amani na kuendesha shughuli zao nchini kenya. Ndio maana mzungu husema "charity begins at home". Je! viongozi wao wamewafanyia walivyotaka wakiingia uongozini?
Hata kama kuna sababu, kuna njia mwafaka za kutafuta suluhu na serikali. Lakini kwa sasa, nitaamini kwamba this push for secession is purely motivated by greed. And BTW, Mombasa is just a small Island the rest of pwani the Mijikendas, have they been consulted?
ilichukuliwa kimabavu au?
October 28 | The sultan of Zanzibar cedes all sovereignty over the mainland territories leased to the Deutsch- Ostafrikanische Gesellschaft to the German Empire in return for a compensatory payment of 4 million marks (£200,000). The World at War - GERMAN EAST AFRICA 1884 - 1922 Zanzibar - Chronology |
Mkuu, hapa nitatafautiana nawe kidogo!Mimi hua najiuliza swali moja. kwanini MRC watake kujivuta kando na kutaka nchi yao? Na nikiangalia kwa undani, sipati jibu kamili. maana kama ni kutaka kujikimu kimaendeleo, sioni wakitoboa. Ombi hilo la kutaka kujivuta msingi wake ni wa kidini na sio ya kujali maslahi ya wadigo au wagiriama ambao shida zao za kawa sote tunazielewa. Hivi miaka tatu iliyopita 2008, rais wa Iran amedinajad alizuru mombasa, huenda ikawa mvuto ambao kundi haramu la MRC unao inachochewa na ziara hiyo.
kama mombasa ni zenji, basi mombasa ni tanzania, naunga mkono hoja!lol
hawana tofauti na wazenji hawa.
Mkuu ule ukanda wa ten miles along the coast Mjerumani aliulipia pesa kwa Sultan kuupata alilipa UK Pound 200,000/-. Fuata link hapo chini utaona hiyo kitu.
October 28 The sultan of Zanzibar cedes all sovereignty over the mainland territories leased to the Deutsch- Ostafrikanische Gesellschaft to the German Empire in return for a compensatory payment of 4 million marks (£200,000).
The World at War - GERMAN EAST AFRICA 1884 - 1922
Zanzibar - Chronology
Hujitambuwi....wala hujuwi ulisemalo...ni kweli, Mombasa na Zanzibar ni kitu kimoja... hadi mwaka 1963 baada ya tume ya Robertson kuja na majibu ya kikoloni kuitenga Mombasa na Zanzibar...wadandia mambo kama wewe hawafahamu kuwa Zanzibar ni nchi kabla ya Tanganyika iliyokuwa pori kuvumbuliwa na akina Livingstone, speke na wamishionari wenzao...kuwa umezaliwa umekuta muungano mbovu mbovu kama huu haimaanishi kuwa haki na madai ya Zanzibar zidi ya muungano wa kifisadi kama huu ni sawa na hiyo tofauti usiyoiyona wewe kati ya Zanzibar na Mombasa.
Kwa taarifa yako tu, madai ya watu wa Mombasa ni ya namna mbili, kwanza, Mombasa iwe Jamhuri kama ilivyokusudiwa kuwa baada ya mkataba wa Uingereza kumalizika, au...pili, Mombasa irudi kuwa sehemu ya Zanzibar kama ilivyokuwa kabla ya makataba na Muingereza! Upo!!!
[h=2]Mombasa Republican Council MRC Sinister Aspects, A Panacea for Terror[/h]February 6 | Posted by David Goldman | Geopolitics, Intelligence NewsMkuu, hapa nitatafautiana nawe kidogo!
Hii ya kudai "uhuru na kujitenga" imekuwa mbinu ambayo inatumika kwa wale wote walio katika maeneo yenye rasilimali nyingi, lakini zinatumika kuimarisha miji mikubwa na kuwaacha wao masikini wa kutupwa. Angalia mfano TZ, maeneo yenye utajiri wa madini na aridhi nzuri ya kilimo ndiyo yaliyo masikini kabisa. Vile vile Wapemba wamekuwa na madai kama hayo, sio kwa masuala ya kidini bali kuona wanapuuzwa kimaendeleo wakati sehemu ya kubwa ya pata la taifa linatoka kwao. Na hili limekuwa likionekana sehemu nyingi Afrika na duniani kote.
Kwa hivyo kuunganisha kudai "uhuru au kujitenga" na sula la kidini ni kutaka kuupotosha umma.
.... Pili, unaposema Mombasa irudi kwa Zanzibar kama waoman walivyowapa waingereza, je! wataka kufufua Oman Arabs au Sultanate? nawao pia wafufue akina mvita shehe wawarudishia ufalme wao.
.....