Mombasa Republican Council wanataka nchi yao...

Ukiona mtu anakimbilia matusi ujue Hana hoja za msingi ... Aina Yao nadhani mnafahamu, walalamishi wa kutaka mikate wakati halimi ngano anacheza draft na karata huku akicheza taarabu.... Hoja si umaskini Ila Wana ajenda nyingine.... Pande za pwani zimevamiwa na kautundu ka kufadhiliwa na watu flani kutoka (...?..) , wakorofi sana hao ingawa panapowaka moto wao wanamwaga vifaa Vya maangamizi tu.. Mf. Mabomu as To SOMALIA

unaweza kuwa uko sawa mkuu.
Inaonekana wamelishwa sumu kwa sana,
mtu ukimdai akupe maelezo ya kutosha anakutukana halafu anahitimisha kuwa, "PWANI SI KENYA"
rejea saga ya 83 kwa 17 ya waislaam.
 
Ukiona mtu anakimbilia matusi ujue Hana hoja za msingi ... Aina Yao nadhani mnafahamu, walalamishi wa kutaka mikate wakati halimi ngano anacheza draft na karata huku akicheza taarabu.... Hoja si umaskini Ila Wana ajenda nyingine.... Pande za pwani zimevamiwa na kautundu ka kufadhiliwa na watu flani kutoka (...?..) , wakorofi sana hao ingawa panapowaka moto wao wanamwaga vifaa Vya maangamizi tu.. Mf. Mabomu as To SOMALIA

Hivi kuna ubaya gani watu wakiomba kuwa huru? Uhuru na mikate ni vitu viwili tofauti.
 
i dont believe this thread has attracted so much interest. It takes more than a bunch of noise making activists to call for a secession. The security mechanism isnt convinced they are a threat.
 
i dont believe this thread has attracted so much interest. It takes more than a bunch of noise making activists to call for a secession. The security mechanism isnt convinced they are a threat.

sawa.
Umesomeka mkuu...
 
Je wanaweza kwenda nyuma zaidi kabla ya waarabu kuja pwani ya A. mashariki?!

hawana guts hizo.
Mtu anapotafuta kitu ataangalia tu mahali panapompendelea.
Kwani utawala wa miaka 70+ wa Malkia wa Uingereza mipaka ilikuwaje.
Usiniambie na sisi tudai Rwanda na Burundi kwa ushahidi wa ramani ya DutchOstafrika...
Huhuhuhu!
 
Heeheeeheeee! Mkuu, wengi wanataka kujificha nyuma ya historia wakati kiuhalisi hawataki kuisikia historia ya kweli! Kwa hiyo hata sisi tukitaka kurudi kwenye historia yetu ramani ya m-Dutch haitatufaa! Itabidi turudi nyuma zaidi na huko tutawakuta wanyarwanda na warundi wakiwa na tawala zao kamili! So ukiangalia haya mambo bila unafiki unabaki tu unawacheka watu wenye kusingizia historia.
 
Nimewaambia kule kwenya page yao kuwa kama hawamfahamu adui yao, watalalama mpaka mwisho wa dahari na hakuna cha tofauti kitajiri.
 
Chochote cha kujaribu kuwadhulumu wa Zanzibari wa bara wengi sana hatuafikiani nacho. Nna uhakika, na hapa hata mniite mdini mpaka mfyatuke, wanaounga dhulma kwa wazanzibari ni watu ambao si waislaam, sijakutana na Muislaam ambae anataka Wazanzibar wadhulumiwe.

Hali kadhalika wa Mombasa, zote hizi ni mbinu aina moja tu, kwani hiyo Mombasa yenyewe ilkuwa Zanzibar.

Unaposema Mombasa ilikuwa sehemu ya zanzibar wakati haki ya utawala iliyotolewa na Sultan kwa waingereza toka mwaka 1887, unataka kurudi nyuma kiasi gani kudai mipaka ya maeneo?
 
let them go ask the north east what happened to them when they demanded to seperate themselves from kenya. kenya will not seperate. we will do what it takes inluding soldiers guns and bombs to supress any attempts by anyone to secede a part of kenya from kenya. the shifta war should serve as a warning/reminder to any secessionist movements.

however, the MRC has legitimate concerns that NEED to be adressed, the kenyan govt cannot dismiss their grievances. it is their constitutional right to assemble and to say whatever the heck they want to say and that right should be respected and protected. i will support their right to assemble and have free speech
 
Kimsingi mipaka aliweka mkoloni, sasa kuna taabu gani na sisi tukiweka yetu ambayo tunadhani itakua na manufaa kwetu?
 
Kwa hiyo FF unataka Watanzania Visiwani tukadai Mombasa yetu? Fafanua dhuruma ipi kwa zanzibar unayoongelea wewe?Na ni udini upi uliouona ktk mada hii? Fikira na ukeleketwa wako wa kidini nadhani si mahala pake hapa.Waliotuletea dini wenyewe wametulia sisi ndiyo twajifanya tunaijua sana kuliko wao waliotuletea???? Ongelea hoja ya msingi FF achana na mambo ya imani hapa.
 
Mmmhh wajue tu wanasafari ndefu sana, hvyo waandae vizazi vya kutosha kusafiri! Kudai nchi haijawahi kuwa rahisi,
serikali za kiafrika zinachochea haya mambo kwa implementation ya sera za maendeleo kiubaguzi.
Hivyo siwazi walaumu hao watu ila kama tu hizo harakati zao hazina mkono wa nje (kitu ambacho sio rahisi).
 
Nimefuatilia harakati za hawa jamaa kwa muda mrefu, pamoja na mkwara mzito wa serikali ya Kenya kulipiga marufuku kundi hili na kuliita 'kundi haramu',
bado jamaa hawarudi nyuma. Bado wanasisitiza kuwa Pwani ya Kenya si sehemu ya taifa la kenya.
Pamoja na viongozi wao kufikishwa mahakamani kwa makkosa ya uhaini, jamaa hawaja-give up.
Moja ya madai yao ni kukithiri kwa umasikini katika maeneo ya Pwani wakati kuna rasilimali za kutosha.
Sasa hivi harakati zao zimehamia mtandaoni.

Profile Pictures | Facebook

Nilichokiona na wewe ni mmoja wao! so fight very hard man!
 
Tungekuwa na raisi mgomvi angeikomalia hii ili ile bandari irudi Tz ila itakula kwa wakenye big time nadhani inaweza tokea VITA.
Maana utashangaa nao malawi wataitaka Kyela yao!
 
Tungekuwa na raisi mgomvi angeikomalia hii ili ile bandari irudi Tz ila itakula kwa wakenye big time nadhani inaweza tokea VITA.
Maana utashangaa nao malawi wataitaka Kyela yao!

jamaa wamegomea multi-billions project ya kupanua bandari ya Lamu, wakidai kuwa kama wanataka wakaijenge Kisumu hiyo bandari.
Gap la kimaendeleo na lenyewe limechangia kuamsha hisia za kujitenga.
 
Back
Top Bottom