kabsar.... Mayb theyl understand why GSU are also referred to as 'Garrisson Support Unit'....hata hivyo askari tawala are quite a potent outfit considering they are a paramilitary force and the first line of defence before military mobilisation. MRC sijui wana shida gani na watajutia haya.
the govt sole purpose in any form of administration is to create colleges, if you choose to learn its your choice, 'community incentive'. The govt is tasked with creating proper macro economic environment and opportunities, are the same not available at the coast? Lets look at infrastructure, has the govt not invested in the area, look at security....a military installation and also a working security mechanism, look at health...many hospital, transport and communication (full fledged intl airport, a port), leisure and entertainment facilities.......now counterbalance what MRC are saying. They are stupid and no apologies for that. Its a group that holds a country at ransom, look at its leaders. If they wanted independence its for an 'illegitimate 16km strip' through and through. The C~i~C has spoken and its a done matter. As i said watch this space. Eliakeem, support Zanzibar but MRC scrap it out...they are a done movement.
the govt sole purpose in any form of administration is to create colleges, if you choose to learn its your choice, 'community incentive'. The govt is tasked with creating proper macro economic environment and opportunities, are the same not available at the coast? Lets look at infrastructure, has the govt not invested in the area, look at security....a military installation and also a working security mechanism, look at health...many hospital, transport and communication (full fledged intl airport, a port), leisure and entertainment facilities.......now counterbalance what MRC are saying. They are stupid and no apologies for that. Its a group that holds a country at ransom, look at its leaders. If they wanted independence its for an 'illegitimate 16km strip' through and through. The C~i~C has spoken and its a done matter. As i said watch this space. support Zanzibar but MRC scrap it out...they are a done movement.
nafikiri ni bora hawa jamaa wa mombasa hadi lamu wachukue nchi yao. kwanza maendeleo mengi yamefanyika nairobi na sio kwao...wametengwa na kubaguliwa wakati wao ndo wana access bahari zaidi kuliko hata landlocked nirobi....nasapoti hiki kikundi.
There is a big difference between coast province and zanzibar, one is an island and the other is mainland.
What mombasans want is their right. Ile mombasa katika tawala za enzi zile ilitolewa kwa mkataba na wafalme wa Zanzibar na kukubaliana baada ya miaka 50 tangu kuingia mkataba basi mombasa itakua taifa huru,,,, sasa ivi hao jamaa wanadai haki yao
Hapa pana kazi.... kazi ipo..... is a sort of class struggle. naona hawa ni hatari kuliko Mungiki.
Mungiki?! Serikali ya Kenya imesema MRC ni hatari kuliko Al-Shaabab!!
Wanaweza kuwa na msingi katika madai yao ya kutaka kupata keki ya taifa kama zilivyo sehemu nyingine za Kenya.
Ila kwa vile wengi wao ni waislamu, hakika hilo linafanya madai yao yaonekane kama ya kikundi cha kigaidi.
Hivi unavosema ubaguzi umo katika kuleta maendeleo, ni kwa nini hawa hawakujitokeza wakati kenya ilipokuwa inaunguzwa kisiasa, kiuchumi na utawala uliopita, tangu kenyatta? Wakati juhudi za kuweka misingi ya mendeleo inapobuniwa katika nchi nzima ndio munafungua midomo zaidi eti ubaguzi. Huo mradi wa LAPSSET unafanywa nairobi?? Lamu watakuwa na port kama mombasa.
Mzalendo, naelewa hilo mzee.Mkuu, hebu fafanua hapa kuwa tatizo sio uislamu, tatizo ni vitendo vyao kujitungia Serikali,na shughuli za uhalifu
Mzalendo, naelewa hilo mzee.
Lakini "kilemba walichokivaa" MRC, hakika kinawaponza katika harakati zao. Ni aibu kwa dunia ya sasa kuwaza mambo katika misingi hiyo; lakini hali ndivyo ilivyo kwa watu wengi, ndiyo maana pengine si ajabu kusikia Odinga na Kibaki wakisema MRC ni hatari zaidi ya Al-Shabaab.
Hivi umejiuliza kwanini wamesema hivyo? Kwanini wasiseme ni zaidi ya Mungiki? Yaani wanamanisha MRC ni kikundi cha kigaidi au?
Licha ya kwamba pengine kitendo cha MRC kutaka kudai hiyo Coastal Province iwe nchi kamili si kizuri katika zama hizi za kutafuta muungano wa Afrika, lakini wao kuitwa zaidi ya Al-Shabaab, hakika imenifanya nijiulize maswali mengi sana.
walikuwa bega kwa bega kama wananchi wengine katika kumng'oa mkoloni....... ila tatizo ni kuwa baada ya kupata uhuru (kipindi cha Kenyatta) sera ikawa...... sasa tumeua Tembo.... kinachobaki ni kuwa kila mutu ikate nyama kulingana ukali ya kisu yake..... sasa ikawa shida ni kwa ndugu zetu wa Mombasa hawakuwa na majambia wala visu vikali ... matokeo yake wakakata nyama kidogo..... kikuyu ikakata nyama kubwa, jaluo ikakata nyama kubwa kiasi.... waluya ikakata nyama ya kutosha, kalenjini kiasi, pokoti ikakata nyama kidogo sana...