Kabaridi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 2,023
- 534
Hao MRC hawawezi kufanikiwa kabisa kwasababu hawana hoja ya msingi. Sababu wanayotoa haiwezi kusikilizwa maana itasababisha enzi mpya ya migogoro barani Africa. Africa na mabara mengine yaliyotawaliwa yaliamua kuheshimu mipaka iliyokuwepo wakati wa uhuru na sasa hawa jamaa kama hawatambui hilo wanatakiwa watoe sababu zinazoeleweka (bila shaka hazipo) kuwa ni kwanini wafuate mipaka ya sultan na sio ile ya tawala za kiafrika kabla ya waarabu kuja pwani ya Afrika mashariki. Lakini pia haishangazi kuona vikundi kama hivyo ktk Afrika maana umaskini umekithiri na uwajibikaji haupo.
Ni kweli kabisa umezungumzia kuwa mipaka iheshimiwe, na hatutaki tusahau vile the biafran idelology ilivoleta migawanyiko, nchini Nigeria. Najua hawa hawana sauti wenyewe.