Moja ya vitu matata kabisa ndani ya jiji

IMG_0314.jpg


uswazi.jpg


HIZI NAZO TUSIZISAHAU, BONGO NI YETU WOTE, MATAJIRI NA MASIKINI.

DSC03589.JPG



image007.jpg
image007.jpg

Kweli mkuu hapo tuko pamoja,ni maeneo ya kawe nini?
 
Ukiangalia katika picha zote hizo ambazo mnasema ni nzuri; utagundua kuwa watanzania tunakabiliwa na tatizo kubwa mno la UZEMBE! Hayo maua na miti vimepandwa na kutunzwa kwa pesa nyingi,lakini wapumbavu wenye akili timamu wanatrespass bila aibu na kusababisha nyasi na maua vinyauke na kufa! Hakyanani hawa watu ni kuwacharaza bakora tu!
 
Ndg wana jamii this is very serious na hawa ndugu zetu wanahitaji kufaidi matunda ya uhuru tusije kuwa sahau. Nauliza wanajamii na wataalamu wa mazingila, mipango miji na mazingira Mama Tibaijuka, hawa wasaidwe vipi?????

Mkuu hawa wanaweza kusaidiwa kama wale waliohamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege. Wahamishwe hapo walipo wakapewe viwanja nje ya mji na wasaidiwe kujenga huko. Kama sikosei hii picha ya mwisho ni kama pale bondeni kati ya magomeni papipa na mkwajuni. Hapo bondeni ni hatari sana yakitokea mafuriko.
 
Back
Top Bottom