Moja kati kauli za mbunge mteule Nasari...!

Kyachakiche

JF-Expert Member
Feb 16, 2009
983
207
Wakati akitoa salamu za shukrani kwa wapiga kura wake kule Leganga jana, Mbunge mteule alisema hivi, nanukuu kutoka gazeti Mwananchi toleo la leo(No 04298) uk wa 5. "....Walisema msinichague eti kwasababu mimi ni masikini, walisema msinichague eti mimi sina mke, na kuongeza msinichague eti mimi ni mtoto,sasa nikawauliza, mnataka dogo Janja au Kubwa jinga na je bungeni niwe na mke kwani tunakwenda kusuluhisha ndoa?"
Nimeyapenda haya maneno na naamini kuwa kijana ni kichwa kweli kweli...wewe unayaonaje?
 
Pia Bungeni niwe na kitambi kwani tunaenda kucheza mieleka?
 
Kijana aliaandaliwa na akaiva kweli kweli,mwisho wa siku kapeleka kilio kwa jiran,hongera sana kijana.
 
Kijana kichwa kweli hana mchezo

Yote point

kiliio amekia majirani zake wanalia mtaana

Naomba kujua kijana Sioi aliondoka je usa sijapata picha bado kwa walimtelekeza
 
SIOYI amerudi Kawe kwa Mdee alikojiandikisha kupiga kura, na hii ni kweli... alimpigia kura ya ndiyo Mdee baada ya Warioba jr kudondoshwa kwenye kura za maono 2010! Muulizeni Kizigha.
 
Wakati akitoa salamu za shukrani kwa wapiga kura wake kule Leganga jana, Mbunge mteule alisema hivi, nanukuu kutoka gazeti Mwananchi toleo la leo(No 04298) uk wa 5. "....Walisema msinichague eti kwasababu mimi ni masikini, walisema msinichague eti mimi sina mke, na kuongeza msinichague eti mimi ni mtoto,sasa nikawauliza, mnataka dogo Janja au Kubwa jinga na je bungeni niwe na mke kwani tunakwenda kusuluhisha ndoa?"
Nimeyapenda haya maneno na naamini kuwa kijana ni kichwa kweli kweli...wewe unayaonaje?

Ni kweli. ni mzungumzaji wa kuvutia. Nilimsikiliza 'live' kwenye tv. Katika kila usemi wake hapo juu, aliongeza usemi wa kupinga. Mfano:"Walisema msinichague eti kwa sababu mimi ni maskini, lakini watu wa Meru wakasema wanataka maskini mwenzao awawakilishe bungeni, walisema eti mimi sina kitambi watu wa Meru wakasema siendi bungeni kucheza mieleka, walisema mimi sina mvi,Wameru wakasema wanataka dogo janja sio kubwa jinga. Hayo ni maneno yenye mvuto sana. Kwa ujumla maneno yote aliyoyasema baada ya ushindi yalionyesha jinsi alivyokomaa kisiasa. Aliwashukuru pia hata mapolisi na kuwapa kazi ya kufanya.
 
Wakati akitoa salamu za shukrani kwa wapiga kura wake kule Leganga jana, Mbunge mteule alisema hivi, nanukuu kutoka gazeti Mwananchi toleo la leo(No 04298) uk wa 5. "....Walisema msinichague eti kwasababu mimi ni masikini, walisema msinichague eti mimi sina mke, na kuongeza msinichague eti mimi ni mtoto,sasa nikawauliza, mnataka dogo Janja au Kubwa jinga na je bungeni niwe na mke kwani tunakwenda kusuluhisha ndoa?"
Nimeyapenda haya maneno na naamini kuwa kijana ni kichwa kweli kweli...wewe unayaonaje?

yep dogo yupo fiti sana, hata mimi nimependa sana kauli hii, imenikosha sana. wana ccm wamepata majibu wanayostahili coz wamezidi kuwa wajinga. bravo joshua nasari
 
wakati akitoa salamu za shukrani kwa wapiga kura wake kule leganga jana, mbunge mteule alisema hivi, nanukuu kutoka gazeti mwananchi toleo la leo(no 04298) uk wa 5. "....walisema msinichague eti kwasababu mimi ni masikini, walisema msinichague eti mimi sina mke, na kuongeza msinichague eti mimi ni mtoto,sasa nikawauliza, mnataka dogo janja au kubwa jinga na je bungeni niwe na mke kwani tunakwenda kusuluhisha ndoa?"
nimeyapenda haya maneno na naamini kuwa kijana ni kichwa kweli kweli...wewe unayaonaje?

baada ya hayo maneno alimalizia hivi tulianza na mungu tutamaliza na mungu
 
kweli kabisa, kwani bungeni anaenda kutoa ushauri wa ndoa?? ukweli ni kwamba sisiyemu are so dull, they cannot even crash a political opponent!! no wonder they sign bullcrap contracts that have made us so miserably poor and yet we are sitting on vast wealth! it is high time that the intelligent minds take over the reigns of leadership and rescue the masses from this burdensome yoke sisiyemu have put us under
 
Wakati akitoa salamu za shukrani kwa wapiga kura wake kule Leganga jana, Mbunge mteule alisema hivi, nanukuu kutoka gazeti Mwananchi toleo la leo(No 04298) uk wa 5. "....Walisema msinichague eti kwasababu mimi ni masikini, walisema msinichague eti mimi sina mke, na kuongeza msinichague eti mimi ni mtoto,sasa nikawauliza, mnataka dogo Janja au Kubwa jinga na je bungeni niwe na mke kwani tunakwenda kusuluhisha ndoa?"
Nimeyapenda haya maneno na naamini kuwa kijana ni kichwa kweli kweli...wewe unayaonaje?

Bila kusahau alisema anawataka askari kuwafungulia vijana wake waliompatia ushindi ili asherekee nao sivyo ataomba awekwe na yeye ndani ili asherekee nao! kwakua hawezi kusherehekea kwa furaha wakati waliopatia kura wamewekwa LockUp!
 
Nassari ni hazina kwa CHADEMA na taifa kwa ujumla. Ni mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja, anaujasiri, ni mpambanaji na ana vision. Kwa umri alionao naamini atakuja kuwa mtu mashuhuri na wa kuheshimika sana hapa TZ.
 
Bila kusahau alisema anawataka askari kuwafungulia vijana wake waliompatia ushindi ili asherekee nao sivyo ataomba awekwe na yeye ndani ili asherekee nao! kwakua hawezi kusherehekea kwa furaha wakati waliopatia kura wamewekwa LockUp!

Je akina Issaya Mgulu walisikia kilio chao na kuwaachia wapambanaji wa CDM ?
 
Back
Top Bottom