Elections 2010 Moiganaji wa CUF jimbo la Tandahimba kwenda mahakamani

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
attachment.php
attachment.php
 
Attachments

  • IMG00450-20101108-0815.jpg
    IMG00450-20101108-0815.jpg
    52.4 KB · Views: 112
  • IMG00453-20101108-0816.jpg
    IMG00453-20101108-0816.jpg
    88.7 KB · Views: 108
Angalau huyo ameonekana kuwa mpiganaji kwa maana ana POP... wazi inaonekana kulikuwa na MBINDE huko... lakini wengine sijawaona angalau na vijimikwaruzo:smile-big: Maana huyo hata wakimshinda kwa kesi ya UCHAGUZI atawashinda kwa ya KUMJERUHI:tape:
 
Hiyo ( POP ) ni matokeo ya nguvu za ziada JK alizosema zimetumika kwenye sehemu zenye upinzani mkali.
 
Hiyo ( POP ) ni matokeo ya nguvu za ziada JK alizosema zimetumika kwenye sehemu zenye upinzani mkali.
Nguvu zina mwisho wake iko siku mambo yatageuka tu mie nina mpango wa kugombea jimbo la nitakapohamia siku za usoni pale Kigamboni 2015 kwa tikiti ya CHADEMA
 
Wana JF,

Huwa nashangazwa sana na kauli nyingi za viongozi kukimbilia neno AMANI esp wakati kama huu uliopita wa uchaguzi.

Huwa najiuliza kwanini viongozi walioko kwenye madaraka hukimbilia kuhubiri neno AMANI huku fika wanajua hawatendi HAKI, Kwanini wasi hubiri neno HAKI kwanza then AMANI huja haraka kabisa ukisha itenda HAKI kwa rai wako sasa ndio hayo yaliyo mkuta Mheshimiwa mbuge aliye nyang'anywa tonge mdomoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom