Mohammed Said: Waislam hawakuchoma makanisa. waliochoma ni wahuni

Kaazi kweli. Wengi mnaonekana kufurahia fujo na kundekeza udini. Waliochoma makanisa wamekosea bila kujali ni waislam au wahuni, kama aliekojolea Qur'an. Ila jumla jumla ya "Waislam Wahuni" eti tu kwa kigezo cha Mohamed Said nako ni vurugu kama kuchoma kanisa au kukojolea qur'an.
 
Hii kauli napingana nayo kabisa, kusema waliochoma Makanisa sio waislamu ni wahuni, watu wamemaliza ibada Msikitini, wakapatana kuwa waende kufanya waliyofanya leo unasema sio waislamu ni wahuni, wao wakubali makosa na waombe radhi watu tuishi kwa amani na sio kujikosha kusiko na tija.
 
unafiki unafiki mtupu, waliochoma makanisa walihamasishana misikitini na wakatokea misikitini, kama si waislam ni kina nani? je na wanauamsho waliochoma kule zanzibar nao si waislam? Halafu angalia unafiki mwingine wanaotangaziana misikitini eti waislam ndo walimkamata yule dogo na kumpeleka polisi lakini cha ajabu ndo hao hao walioandamana na kuzingira kituo cha polisi wakitaka wakabidhiwe dogo yule ili wamwadhibu!...kama si uhuni tuite nini?
 
Akiwa kwenye mdahalo na Sekioni Kitojo Mohamed Said amesema kuwa waislamu hawakuchoma makanisa waliochoma n wahuni waliotumia mgongo wa uislam.
"kwanza si waislam waliochoma kanisa, mwislam hawezi kuchoma kanisa kama kanisa limechomwa watakuwa ni wahuni wa mitaani wamechukua upenyo ule kufanya uhalifu wao' alisema
kumsikiliza bonyeza hapa

Ni kweli tunakubaliana kwamba waliochoma makanisa ni Waislamu ila ni Waislamu wachache ambao kweli ni wahuni na waliokubali kupotoshwa Na kina Ponda. Hawa ni watu wachache ambao hawawakilishi mawazo na matendo ya Waislamu wengi ambao ni safi.

Kama vile ambavyo ni mtu mwenye akili punguani tu ndie anaweza kusema Mtoto aliyekojolea Quran anawakilisha mawazo ya wakristo. Hicho kilikuwa ni kitendo cha kitoto na ambacho kilitakiwa tu kukemewa Na si kuhukumu wakristo.

Ndugu zangu sote ni ndugu, wote ni watanzania. tumeishi hivyo na tuendelee kuishi hivyo. Matatizo yetu watanzania hayatokani na dini yoyote. Watanzania tuna akili, tunaheshimu na kupenda dini zetu lakini hatuhitaji udini. Tusikubali kutumiwa Na viongozi wachache kwa maslahi yao binafsi.
 
Kama ni uhuni basi una mizizi humo kati ya uislamu. Manake masheikh kadhaa na Ponda akiwemo waliwapongeza waliochoma makanisa kwa kitendo cha kishujaa! There would be no doubt kama wangekemewa na uongozi wa waislamu, lakini kwa kupngezwa ndo twatia shaka.
Akiwa kwenye mdahalo na Sekioni Kitojo Mohamed Said amesema kuwa waislamu hawakuchoma makanisa waliochoma n wahuni waliotumia mgongo wa uislam.
"kwanza si waislam waliochoma kanisa, mwislam hawezi kuchoma kanisa kama kanisa limechomwa watakuwa ni wahuni wa mitaani wamechukua upenyo ule kufanya uhalifu wao' alisema
kumsikiliza bonyeza hapa
 
Wakuu muislamu mwenye akili yake na aliyebobea ktk imani ya kweli ya uislamu hawezi fanya upumbavu ule!, jamaa yuko sahihi ni wapumbavu wachache ndani ya dini ya kiislamu waliochukua advantage ya dini na matatizo binafsi haswa ktk social economy issues ambavyo vimepelekea kufanya criminal acts.
 
Majina yao ni ya kiislamu basi kwa ujumla ni waislamu. Imani zitatupeleka pabaya tusipokuwa makini. Jana nao Wakristo wamepeleka maiti kanisani kuiombea ili ifufuke. Hii inamaana imani ya kikristo hawaamini uwezo wa muumba. Hapa hakuna sababu ya kusema ni wale hapana, hawa ni wakristo. Tunakwenda kubaya.
 
[h=1]Waislamu wengi wauwawa Burma[/h]
27 Oktoba, 2012 - Saa 15:07 GMT

Wilaya nzima inayokaliwa na Waislamu waitwao Rohingya imeangamizwa katika ghasia za karibuni kabisa za kidini magharibi mwa Burma.
121026152004_burma_refugee_rohingya_304x171_afp_nocredit.jpg

[h=2]Taarifa zinazohusiana[/h]

Shirika la kutetea haki za kibinaadamu, Human Rights Watch, limechapisha picha zilizopigwa na satalaiti, ambazo zinaonesha kuwa nyumba zaidi ya 800 zimechomwa moto kwenye mji wa kando ya bahari uitwao Kyaukpyu.
Wakuu wamesema kuwa Waislamu zaidi ya 3000 wamenasa kwenye kisiwa baada ya kukimbia makwao kwa mashua, na wamekataliwa kuingia katika mji mkuu wa jimbo, Sittwe.
Serikali ya Burma inasema kuwa watu zaidi ya 60 waliuwawa katika juma la mapigano baina ya Waislamu na Wa-Buddha katika jimbo la Rakhine, na kuna wasiwasi kuwa idadi hiyo inaweza kuwa kubwa zaidi.
Waislamu hao hawatambuliwi kuwa raia wa Burma.
 
Uhuni huu umewekwa kama njia ya kujitetea na hao wahuni ndiyo haohao waislam wafanyafujo.
 
Moja kati ya mamtatizo makubwa ambayo yanatukabili watanzania leo hii ni kuukataa ukweli hata kama unajidhihirisha mbele ya macho yetu

Kweli kabisa! Mfano aya hii iko wazi kabisa lakini watu hawaelewi wanafunika kombe au kujifanya hamnazo. Rumi 3:7 .....Lakini, ikiwa kweli ya Mungu imezidi kudhihirisha utukufu wake kwa sababu ya uongo wangu, mbona mimi ningali nahukumiwa kuwa ni mwenye dhambi?........
 
kichekesho ni kwamba, waliiba na kuiba, wamechoma makanisa alafu wakaiba mifaa vya muziki na viti. na kuna watu wanataka kuandamana kuwatoa gerezani......kama hawana vifaa vya msikinini wangesema tuchange sadaka tuwanunulie...manake walikamatwa navyo ivyo vitu.
Walikamatwa navyo msikitini????????
 
Akiwa kwenye mdahalo na Sekioni Kitojo Mohamed Said amesema kuwa waislamu hawakuchoma makanisa waliochoma n wahuni waliotumia mgongo wa uislam.
"kwanza si waislam waliochoma kanisa, mwislam hawezi kuchoma kanisa kama kanisa limechomwa watakuwa ni wahuni wa mitaani wamechukua upenyo ule kufanya uhalifu wao' alisema
kumsikiliza bonyeza hapa

eti wahuni mbona hawachomi misikiti wanachoma makanisa, kwahiyo na sheikh ponda aliyevamia kiwanja na kujenga msikiti naye ni muhuni? na sheikh Farid akiyeunda uamusho kudai kutetea uislamu na uzanzibari naye ni muhuni? kwahiyo waislamu waliotoka misikitini na kwenda kuvamia kituo cha polisi waliposhindwa wakaenda kuchoma makanisa nao ni wahuni? kwa hiyo vikao vya misikitini vilivyopanga kumchinja mufti wao simba na mtoto aliyekojolea kurani baada ya swala ya ijumaa ni wahuni? mbona hao wahuni hawaibi misikitini? mbona hao wahuni hawachomi misikiti?

kama waliochoma makanisa na kuiba walikuwa wahuni mbona waislamu wanataka kuandamana nchi nzima tarehe 2/11/2012 kushinikiza hao wahuni waachiwe? je hawa wahuni si walifanya kutokana na makubaliano yao yaliyofikiwa misikitini? hii inaconfirm kuwa uislamu, dini ya uislamu na ugaidi, uhuni na genge la wanyangányi ni kitu kimoja yaani watoto mapacha.

mtu mwenye akili timamu hadanganywi nami nawashauri watu waauhame uislamu waje kwenye ukristo waonje jinsi Yesu Kristo alivyomwema ili wasihesabiwe miongoni mwa wahuni na majambazi

ss tunazo akili timamu wasijaribu kutudanganya kwani siku zote penye ukweli uongo hujitenga
 
eti wahuni mbona hawachomi misikiti wanachoma makanisa, kwahiyo na sheikh ponda aliyevamia kiwanja na kujenga msikiti naye ni muhuni? na sheikh Farid akiyeunda uamusho kudai kutetea uislamu na uzanzibari naye ni muhuni? kwahiyo waislamu waliotoka misikitini na kwenda kuvamia kituo cha polisi waliposhindwa wakaenda kuchoma makanisa nao ni wahuni? kwa hiyo vikao vya misikitini vilivyopanga kumchinja mufti wao simba na mtoto aliyekojolea kurani baada ya swala ya ijumaa ni wahuni? mbona hao wahuni hawaibi msikitini? mbona hao wahuni hawachomi misikiti?

kama waliochoma makanisa na kuiba walikuwa wahuni mbona wanataka kuandamana nchi nzima tarehe 2/11/2012 kushinikiza waachiwe? je hawa si walifanya kutokana na makubaliano yao waliyofikiwa misikitini? hii inaconfirm kuwa uislamu, dini ya uislamu na ugaidi, uhuni na genge la wanyangányi ni kitu kimoja yaani watoto mapacha.

ss tunazo akili timamu wasijaribu kutudanganya kwani siku zote penye ukweli uongo hujitenga

mtu mwenye akili timamu hadanganywi nami nawashauri watu waauhame uislamu waje kwenye ukristo waonje jinsi Yesu Kristo alivyomwema ili wasihesabiwe miongoni mwa wahuni na majambazi

Hii kiboko..................... Uislamu mmeupakazia weeeeeee na kuupa majina yooote mabaya duniani nikajua majina yote mabaya ya Uislamu yameisha kumbe bado yanakuja tu, lo! Mlianza na kusema uislamu ni dini ya MAJINI miaka ya 2000 mkaiita dini ya KIGAIDI leo 2012 mnaiita dini ya WAHUNI!!!!!! Endeleeni kumaliza majina yote na uislamu utaendelea kudumu tena kwa kasi kubwa!!!!!!!
 
ok kumbe wahuni wao wanachoma makanisa tu hawachomi misikiti....okay sawa sawa tumemuamini alichosema
 
eti wahuni mbona hawachomi misikiti wanachoma makanisa, kwahiyo na sheikh ponda aliyevamia kiwanja na kujenga msikiti naye ni muhuni? na sheikh Farid akiyeunda uamusho kudai kutetea uislamu na uzanzibari naye ni muhuni? kwahiyo waislamu waliotoka misikitini na kwenda kuvamia kituo cha polisi waliposhindwa wakaenda kuchoma makanisa nao ni wahuni? kwa hiyo vikao vya misikitini vilivyopanga kumchinja mufti wao simba na mtoto aliyekojolea kurani baada ya swala ya ijumaa ni wahuni? mbona hao wahuni hawaibi misikitini? mbona hao wahuni hawachomi misikiti?

kama waliochoma makanisa na kuiba walikuwa wahuni mbona waislamu wanataka kuandamana nchi nzima tarehe 2/11/2012 kushinikiza hao wahuni waachiwe? je hawa wahuni si walifanya kutokana na makubaliano yao yaliyofikiwa misikitini? hii inaconfirm kuwa uislamu, dini ya uislamu na ugaidi, uhuni na genge la wanyangányi ni kitu kimoja yaani watoto mapacha.

mtu mwenye akili timamu hadanganywi nami nawashauri watu waauhame uislamu waje kwenye ukristo waonje jinsi Yesu Kristo alivyomwema ili wasihesabiwe miongoni mwa wahuni na majambazi

ss tunazo akili timamu wasijaribu kutudanganya kwani siku zote penye ukweli uongo hujitenga

umeona jinsi ambavyo mijitu mingine inaongea bila kufikiria...ndo mana tupo hapa tulipo kwa sababu ya such ppo
 
umeona jinsi ambavyo mijitu mingine inaongea bila kufikiria...ndo mana tupo hapa tulipo kwa sababu ya such ppo

mm ninachofahamu kama waislamu na viongozi wao wangekuwa waungwana kutokana na ukweli kuwa bayana, wangewaomba radhi wakristo na kusisitiza hilo kutojirudia lkn badala yake wameendeleza kutoa matamko na hoja zinazoshindwa kujibu maswali yaliyoko katika vichwa vya wakriso na hata baadhi ya watu wasio na dini, huoni hapo ni sawa na mtu kuwasha moto kisha unaweka majani makavu juu yake ukidhani moto utazima? waombe ushauri kabla ya kutoa matamko yao, yanatukera sana kwani tunaona amani inatoweka bila sababu za msingi kabisa?
 
Back
Top Bottom