Mohamed Trans yapinduka na kuua

Mpola munno abafelwa,abbanyaruganda,abarumunna na inyeina bojo.MUNGU AWAPE AMANI.
 
Duh!wiki ya usalama barabarani mkoani Kagera na bado ndani ya wiki moja the bus overturns?tunamshukuru Kikwete na sie hatutaacha kuwazika bandugu betu lakini ccm ikae ikijua,IPO SIKU.

we Rweye hapo CCM inahusikaje na hiyo ajali? Hujui kuwa wapo madere wa CCM,CHADEMA,NCCR.CUF,CHAUSTA n.k....!
 
hapo ccm imehusika vipi?. Tuache ushabiki usio na maana.

Rushwa inayotolewa na wamiriki wa mabasi kwa askari wa barabarani wewe unadhani ni kosa la nani? Ukiuliza chanzo cha ajali utaambiwa basi lilipakiza abiria wengi kupita kiasi. Au mwendo kasi na askari wapo.
 
kwahiyo askari wote ni wanachama wa ccm.
 
Mohamed Trans nayo ifungiwe, nadhani katika mabasi yanayoongoza kwa ajali nalo hili lipo kwenye orodha! Poleni wajeruhi wote na nawaombea kwa Almight God mpate nafuu.

mkuu yafungiwe mara ngapi kampuni hii inaweza kuwa ndiyo inayoongoza kwa kupata ajari...
 
Back
Top Bottom