Mohamed trans,taqwa,master city na sumry zapigwa ban na sumatra

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mamlaka ya usafirishaj nchi kavu na majini(SUMATRA)imeamua kuyafungia mabasi ya kampuni ya SUMRY,TAQWA,MOHAMED TRANS na MASTER CITY kutokana na kusababisha ajali,adhabu hiyo itaanza nov 19 mwaka huu.
TAQWA imekumbana na kiama hicho kutokana na ajali yake ya hivi karibun ambapo watu 18 walifariki baada ya kugongana na lori la Azam,nalo mohamed trans lilipata ajali maeneo ya picha ya NDEGE
sosi:MWANANCHI
 
Kwani hizi ajali si ni "kazi ya Mungu"? Sasa mabasi yanafungiwa kwa nini?
 
safiii..wasiishie hapo madeleva na wamiliki wa mabasi nao inabidi wakapimwe akili ya barabarani.
 
Mamlaka ya usafirishaj nchi kavu na majini(SUMATRA)imeamua kuyafungia mabasi ya kampuni ya SUMRY,TAQWA,MOHAMED TRANS na MASTER CITY kutokana na kusababisha ajali,adhabu hiyo itaanza nov 19 mwaka huu.
TAQWA imekumbana na kiama hicho kutokana na ajali yake ya hivi karibun ambapo watu 18 walifariki baada ya kugongana na lori la Azam,nalo mohamed trans lilipata ajali maeneo ya picha ya NDEGE
sosi:MWANANCHI

tarehe 19/11 ya mwaka gani? Leo ni Decemba mosi
 
Kwani hizi ajali si ni "kazi ya Mungu"? Sasa mabasi yanafungiwa kwa nini?
Hapana, Yehova Mungu ambaye mimi ninamwabudu na kumtumikia, siyo chanzo/kisababishi cha ajali.
BWANA wetu Yesu Kristo apewe sifa na watu wote waseme Amina.
 
Mtani aliahidi atarudi mpaka leo hatumuoni. Mwambieni arudi tu. Mayahudi wa zamani sio sawa na hawa wa siku hizi.
 
Mh nina mashaka na hilo kwani jana nimesafiri na mtl kutoka mwanza au ni mwakani???
 
Mamlaka ya usafirishaj nchi kavu na majini(SUMATRA)imeamua kuyafungia mabasi ya kampuni ya SUMRY,TAQWA,MOHAMED TRANS na MASTER CITY kutokana na kusababisha ajali,adhabu hiyo itaanza nov 19 mwaka huu.
TAQWA imekumbana na kiama hicho kutokana na ajali yake ya hivi karibun ambapo watu 18 walifariki baada ya kugongana na lori la Azam,nalo mohamed trans lilipata ajali maeneo ya picha ya NDEGE
sosi:MWANANCHI

Sumry mbona bado iko barabarani
 
Mtani aliahidi atarudi mpaka leo hatumuoni. Mwambieni arudi tu. Mayahudi wa zamani sio sawa na hawa wa siku hizi.

Unaona raha sana kukashifu imani ya mwenzako? Unadhani sisi hatuwezi kukashifu imani yako? You need to grow up!
 
Back
Top Bottom