Mohamed trans Dar-Mwanza-Geita kerooo tupu!

mwanamapinduko

Senior Member
Jan 24, 2011
178
41
Wakuu safari kati ya mwanza,dar,shinyanga, geita, kwa basi hili ni kero tupu! Hakuna utaratibu wa siti, wala ratiba ya kuondoka/kufika kwa wale wa Geita kulala feri ya kigongo ndio imekuwa kawaida. Wafanyakazi majibu mabaya wanasema "nenda kokote kwani hao Sumatra na trafiki bosi kawaweka mfukoni" Hivi hizi taasisi zina udogo kiasi gani kutosha kwenye mfuko wa huyo bosi?
 
Ukiona hivyo, hiyo kampuni karibu itatoweka kwenye hiyo biashara. Kampuni nyingi za usafirishaji wa abiria huwa zinaishia pabaya ama kutokana na mwenye mali kutojali baada ya kulewa pesa, au kupigwa vitwa na makampuni mwngine kwa kuwekwa wafanyakazi mapandikizi, au kushindwa kujiendesha kutokana na utaratibu mbovu toka mwanzo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom