Mohamed Mpakanjia is no more!

MJ1;

Mimi nadhani umekuwa sensitive sana! ukweli ni kwamba lazima tuuzungumzie ukimwi na kuweka kila kitu hadharani kuwaokoa tunaowapenda. kama unakumbuka vizuri, tangu amina afe pamekuwa na mlolongo wa machapisho kwenye magazeti kuhusu mpakanjia na baadhi ya warembo wa mjini

that chain is long and a few of them wameshakuwa exposed. na hata ukisoma humu kwenye hii thread, it all goes back to Liyumba, sasa hebu fikiria ni watanzania wangapi walikuwa wanajua kwamba liyumba ni umeme live?

Kuna wakati hata rais wetu alirefer issue ya magari mekundu, lakini tulikaa kimya, tukampoteza amina, tukakaa kimya na kupotosha jamii ati kauawa, sasa jamaa naye amekwenda... vipi watu wabaki kimya? kesho ukianza kuona picha za ndoa kazi ya wale walioachwa na meddy na ukakuta mtu wako wa karibu, je utakaa kimya??

Its a high time that we stand up and give each other early warnings ili kusaidia tunaowapenda.

That being said, ni vizuri kupima afya na kujua status, iwapo uko swafi then jitahidi kujitunza na iwapo uko positive, then see medical advice

Tanzania bila ukimwi, inawezekana

kama kasepeshwa na HIV basi ni vyema tuweke list hapa YA UHAKIKA,si kumsingizia mtu jamini,ili mtu kama hujaoa isitokee ukapitia hiyo list kuwowana au kuopoa,i mean kwa wanaotaka kuoa tuu!si kwa ajili ya ngono na kula kona.RIP medy

NAME /STATUS

1. Amina Chifupa /DECEASED or DEADED
2.
3.
4.
.
.
.
.
.
.
 
Last edited:
Ina maana naye ameuga Neumonia kama mkewe Amina??? Poleni ndugu, jamaa na marafiki hasa watch dog wake Dr. Nchimbi aliyekuwa anampatia habari za mkewe Marehemu Amina akiwa Bungeni.

Siku zote duniani tunapita, hata kwa utajiri mkubwa kiasi gani tunao lakini siku moja tutauacha na kuzikwa kwenye udongo usiozidi mita 2.5 ukiachilia wale ambao Mungu amewajalia urefu zaidi. Tujiandae kwa kuishi vizuri kwa kuwa na mahusiano mazuri na kila mtu. R.I.P Med Mpakanjia. Your legacy will remain!!!

Nasikia wala si nimonia kama wengine wanavyodai, nimesikia wakisema ni ugonjwa fulani unaitwa PCP. Sijui ndio mafua ya nini, lakini wanadai matibabu yake ni magumu sana. Si ajabu ni ile halbadiri ya mkwe wake wa Kigamboni aliyemkana.
 
GREAT THINKERS>wazee hapa kafa mtu naomba kwanza tutulize munkari na huu msiba,haya yatajadiliwa tu hapo baadaye lakini subra kwanza,we bata hasira zote za kwenda kurudi nini hasa au nawewe alikutafunia?acheni kwanza wanandugu na jamaa wamalize msiba wao then tutaongea haya,sasa hiki kijiwe kitaonekana cha wahuni kwa mambo haya unadhani mtu aende msibani na kueleza yanayoendelea humu ni vipi?mnaipunguzia hadhi hii sehemu pls kama wewe una hasira sana na ugonjwa uliomuua nenda kawaambie nduguze sisi hatuna faida na hizo habari.R.I.P MPAKANJIA

Mkuu,
Tatizo la JF slogan ya "where we dare to talk openly" haikuspecify baada ya kitambo gani (after how long) ndo mtu a dare to talk openly. Ingekuwa ime-specify muda then hawa GREAT THINKERS wangesubiri kama ulivyosema.

Otherwise RIP Man.
 
Nasikia wala si nimonia kama wengine wanavyodai, nimesikia wakisema ni ugonjwa fulani unaitwa PCP. Sijui ndio mafua ya nini, lakini wanadai matibabu yake ni magumu sana. Si ajabu ni ile halbadiri ya mkwe wake wa Kigamboni aliyemkana.

Tuacheni speculations! Cha msingi tujue tu kuwa HIV imezagaa, tuwe makini na tuangalie maisha yetu. Tupime afya zetu na tumwishie Mungu. RIP.
 
kama kasepeshwa na HIV basi ni vyema tuweke list hapa YA UHAKIKA,si kumsingizia mtu jamini,ili mtu kama hujaoa isitokee ukapitia hiyo list kuwowana au kuopoa,i mean kwa wanaotaka kuoa tuu!si kwa ajili ya ngono na kula kona.RIP medy

NAME /STATUS

1. Amina Chifupa /DECEASED or DEADED
2.
3.
4.
.
.
.
.
.
.
!!!!!!............................... R.I.P Meddy
 
PCP ndiyo hiyo hiyo pneumonia. Inamnyima mgonjwa kupumua vizuri hivyo inaaffect circulation ya oksigen. Pneumonia ni ugonjwa ambao ukicheleweshwa kutibiwa unakufa. Mara nyingi inaweza ikaonekana kama dalili za malaria hivyo unatibu wakati inandelea kuumiza mapafu na by the time wanashtukia kuwa ni PCP tayari inakua too late....
 
Tumesikitishwa sana alikuwa maarufu sana Mwenyezi Mungu amuweke mahala pema peponi.Kwa kweli siku ya kufa huwezi kuijua itakuja kinamna gani,akapumzike kwa amani.:(
 
PCP ndiyo hiyo hiyo pneumonia. Inamnyima mgonjwa kupumua vizuri hivyo inaaffect circulation ya oksigen. Pneumonia ni ugonjwa ambao ukicheleweshwa kutibiwa unakufa. Mara nyingi inaweza ikaonekana kama dalili za malaria hivyo unatibu wakati inandelea kuumiza mapafu na by the time wanashtukia kuwa ni PCP tayari inakua too late....

Nanu,

PCP ni Pneumonia inayoletwa na vimelea ambavyo viko directly associated with upungufu wa kinga, kuna aina kadhaa za vimelea vinavyoleta pneumonia ikiwamo hao.
 
Kumbe basi ni huo ugonjwa wa PCP na oksigen nk ndio umemuua, sasa mbona wakuda wanazusha sijui HIV sijui nini, hii ni halali? Wataalam wenyewe wamegundua ni PCP imemuua, hao wanaozusha kuwa ni HIV wana elimu kuliko wataalam wetu?
 
Mkuu,
Tatizo la JF slogan ya "where we dare to talk openly" haikuspecify baada ya kitambo gani (after how long) ndo mtu a dare to talk openly. Ingekuwa ime-specify muda then hawa GREAT THINKERS wangesubiri kama ulivyosema.

Otherwise RIP Man.

Mkuu,

Slogan ya JF ''where we dare talk openly'' aka kumkomaa nyani giliadi......ndiyo falsafa kuu inayoongoza mijadala hapa JF. So no matter ni kipindi cha mazishi, or what ...truth, facts & realism should prevail mkuu...hakuna kung'ata maneno! Spade should be called spade.......!

Hata nahivyo tunapo dare kutalk openly, tufanye hivyo kwa lengo kwanza la kuonyesha wapi mwanajamii anakuwa kateleza au kakosea, ninikifanyike then na sisi tunajifunza nini kutokana na makosa hayo! Tusizungumze tu kwa kujifurahisha....we should learn out of the mistakes ambazo wengine wanafanya!

RIP Meddy
 
Nanu,

PCP ni Pneumonia inayoletwa na vimelea ambavyo viko directly associated with upungufu wa kinga, kuna aina kadhaa za vimelea vinavyoleta pneumonia ikiwamo hao.

Acquired Immune Deficiency Syndrome Shall include H.I.V related diseases but limited to Pneumocystis Carinii Pneumonia. Organisation of chronic enterrits virus and or Disseminated fungi infection,kaposi sarcoma and central nervaous system lymphona.
 
Hivi kamati ya mazishi itakutana bar gani maana nitammiss sana Medi dah kwa lugha yake wamwagia 5 aka daladala mize ileeeeeee.
 
Pneumocystis Carinii Pneumonia

Lots of studies have linked PCP with HIV as one of Magonjwa nyemelezi! Tuwe wakweli mtu akifa kwa ngoma iwekwe wazi tusianze tafuta wachawi!
 
Kumbe basi ni huo ugonjwa wa PCP na oksigen nk ndio umemuua, sasa mbona wakuda wanazusha sijui HIV sijui nini, hii ni halali? Wataalam wenyewe wamegundua ni PCP imemuua, hao wanaozusha kuwa ni HIV wana elimu kuliko wataalam wetu?

Mtu B;

HIV haiuwi kama HIV, kinachoua ni magonjwa yanahusiana na ukosefu wa kinga uliosababishwa na HIV.

Hebu msome Ngomanzito hapo juu!!!
 
Hivi kamati ya mazishi itakutana bar gani maana nitammiss sana Medi dah kwa lugha yake wamwagia 5 aka daladala mize ileeeeeee.

Mpwa swali langu jana hujajibu umesepa, hivi hukuwahi pitia moja ya viota vya marehemu? Maana totoz zote nzuri Dar jamaa aliharibu!
 
Mkuu,

Slogan ya JF ''where we dare talk openly'' aka kumkomaa nyani giliadi......ndiyo falsafa kuu inayoongoza mijadala hapa JF. So no matter ni kipindi cha mazishi, or what ...truth, facts & realism should prevail mkuu...hakuna kung'ata maneno! Spade should be called spade.......!

Hata nahivyo tunapo dare kutalk openly, tufanye hivyo kwa lengo kwanza la kuonyesha wapi mwanajamii anakuwa kateleza au kakosea, ninikifanyike then na sisi tunajifunza nini kutokana na makosa hayo! Tusizungumze tu kwa kujifurahisha....we should learn out of the mistakes ambazo wengine wanafanya!

RIP Meddy

UKWELI MTUPU HOMEBOY!
baho baho baho baho muyangu!
 
MJ1;

Mimi nadhani umekuwa sensitive sana! ukweli ni kwamba lazima tuuzungumzie ukimwi na kuweka kila kitu hadharani kuwaokoa tunaowapenda. kama unakumbuka vizuri, tangu amina afe pamekuwa na mlolongo wa machapisho kwenye magazeti kuhusu mpakanjia na baadhi ya warembo wa mjini

that chain is long and a few of them wameshakuwa exposed. na hata ukisoma humu kwenye hii thread, it all goes back to Liyumba, sasa hebu fikiria ni watanzania wangapi walikuwa wanajua kwamba liyumba ni umeme live?

Kuna wakati hata rais wetu alirefer issue ya magari mekundu, lakini tulikaa kimya, tukampoteza amina, tukakaa kimya na kupotosha jamii ati kauawa, sasa jamaa naye amekwenda... vipi watu wabaki kimya? kesho ukianza kuona picha za ndoa kazi ya wale walioachwa na meddy na ukakuta mtu wako wa karibu, je utakaa kimya??

Its a high time that we stand up and give each other early warnings ili kusaidia tunaowapenda.

That being said, ni vizuri kupima afya na kujua status, iwapo uko swafi then jitahidi kujitunza na iwapo uko positive, then see medical advice. What if Meddy was negative?

Tanzania bila ukimwi, inawezekana

RIP Meddy

Asante sana Mkuu MTM. Ni wakati umefika kutangaza rasmi kupitia kwenye misiba, vyombo vya habari kwa wale watu influential kuwa kama mgonjwa kafa kwa UKIMWI basi iwekwe wazi kama baadhi ya wenzetu kule Uganda walifanya na ikasaidia sana kupunguza maambukizi mapya.

Hatwezi kukaa kimya kisa eti ni msiba. So what?? Hata kama mimi nikipata ukimwi nikifa nitangazeni na ndugu zangu nitawaambia watangaze kwenye msiba pengine kwa kuwa siko celebrity kama akina Amina, Liyumba, Med na wale watarajiwa wa waliukwaa toka kwa vifaru wa kugawa feza na mabinti wazuri wa mjini.

Hakuna aibu kwa ukimwi. Tukiwa wazi tutaokoa wengi na pia itawapa courage wenye ukimwi waweke hadharani.

Hivi leo ukisikia kabisa kuwa nduguyo amwemwoa mjane wa aliyekufa kwa ukimwi, utajisikiaje?? Hivi kuna mtu hapa ameshauguza ndugu wa ukimwi akaona mateso yake?? Hivi kuna mtu hapa ameachiwa yatima karibu 20 wa ndugu uwatunze na kuhakikisha wanapata huduma muhimu ikiwemo elimu??? Acheni jamani. It pains.

Kwa magonjwa mengine ni kuwa reserved kuheshimu mazishi na waliobaki kama mhusika alikuwa na skendo but kwa ukimwi no way. Tusemezane. Play your part.
 
fidel80 niwakilishe wakati wa mazishi,
namuombea kheri huko aliko.
!

Hahahaha mkuu nimekupata ndo nipo katika mikakati kujua wapi vikao vya mazishi vinafanyika maana siku hizi vikao vya msiba tunafanyia bar sasa sijajua bar gani si unajua huyu ni mdosi lazima tunywe kwanza tuanza mikakati lakini najua toka jana mapedeshee tayari walisha kutana leo nyumbani kwake sinza kuna nyomi ya ajabu.
 
Back
Top Bottom