MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,603
Ni mapema sana kuwahukumu. Hata Waislamu waliokuwa na "siasa kali" wamegundua kuwa vurugu sio suluhisho pale ambapo mazungumzo na demokrsia vinaweza kufanyika.Wakee Mkao wa Kuchezea Kichapo kutoka kwa Israel manake hao walikuwa na Mpango mzima wa Kuisumbua kuichokoza na Kufuta uhusiano wote na Israel...
Kitu mabacho ninawalaumu wagombea uchaguzi wote wawili ni kuanza kujitangaza ushindi kabla ya tume ya uchaguzi kutoa matokeo rasmi. Bado Waafrika tuna safari ndefu kuelekea demokrasia ya kweli.