Mohamed Dewj mzalendo halisi!


Mkuu ni kweli jamaa kiasi fulani ame cross boundary, lakini ni nafuu huyu hata akivua shati anaonekana ni mtu wa mazoezi. Hivi angekuwa yule mbunge yule mkuu wa TOT, nanihii yule...mnamjua, ana tumbo za bia ingekuwaje?

Heri mimi sijasema, chubwi, chubwi chubwi.....
:)...:)....:)
 
Wewe nawe!!!!hata kama ubunge una heshima yake,kwani Mbunge anapovua shati kwa lengo la kuonesha furaha yake(bila kufanya mambo mengine ya ajabu)anakuwa kakosa heshima???,mbona mara kibao Timu yao ya wabunge inapocheza baadhi ya wabunge huchojoa tu mashati kwa lengo la kushangilia ama wanapobadilisha wachezaji ama hata baada ya mechi..Hata hivyo MO hana kitambu so mwache ajiachie mwanawane..Heshima mbele mkuu...Be blessed


...Teh teh teh, Thank U mkuu, for the blessings! So Azikiwe/BB Titi street is now a Stadium where our Honorables can just chojoa their shirts and show us their tumbos eh?
 
Ukisoma hii sentensi katikati ya mistari utagundua jinsi gani watanzania tulivyo na roho za "kwa nini".

Hii line ya "unapofanya....... ndio tukujue kuwa wewe ni...... sanaa/saana," inatumika sana miongoni mwetu.


...There we go again, looking for easy answers for our problems. Hakuna kukosoana, ukikosoa kitu ni 'roho ya kwa nini'!

It is easy to see that even when mzee wa VGcent was stashing his (his, my a#%$! OURS!) Millions at some overseas Bank, had someone dared to inform us about that, he definitely would have been told to 'acha roho ya korosho'! Poor Tanzania and Tanzanians!
 
...Ubunge una heshima yake. Unapovua shati kwenye kadamnasi na kuruka ruka tumbo wazi ndio tukujue kuwa wewe ni mzalendo sanaa, ama?? You must hand it to him, though. The guy knows how to hog some cheap publicity from unsuspecting Bongomites!!
.....aaachaa wewee!!, 'Wak-ulu' wanavuliwa magwanda yalojaa medani na nembo kibao,zinavuliwa tai na suti tena sehemu za ajabuX2 tu,alafu unadhubutu kuzungumzia Heshima???
 
Kuna wakati alipelekeshana sana na Z.Meghji alipokuwa Waziri wa afya wati wa Mzee Ruksa pale MeTL walipoingiza Ngano ambao haufai kwa matumizi ya binadamu. Dewji alimvimbia pale alipokataa kuteketeza ngano hiyo Zakia Meghji akasema kama haitateketezwa basi atajiuzulu uwaziri, ngoma ilikuwa tamu hatimaye Dewji akanywea na ngano ikateketezwa

unadhani watu wanataka kusikia kuhusu ile kesi na jinsi ilivyoishia (kama kweli imekwisha)! mambo ya mohamed enterprise mazito bana
 
...Mo Dewji anaendeleza tu pale palipoachwa na "wazalendo" wengine kina Abbas Gulamali-Yanga, Azim Dewji-Simba SC, Shaffi Bora-Majimaji Songea, Naushad Mohamed-Malindi Zbar, Kakaa-Tukuyu stars Mbeya, Mohamed Raza na Ibrahim Raza-Shangani Zbar...

labda waweza changanua vizuri zaidi "uzalendo" huu unaegemea wapi zaidi, ukitilia maanani mwonekano, mwelekeo na jinsi ufadhili huo unavyonufaisha pande zote mbili na hatma yake.
 
Last edited:
Ni namna za kupuliza kwa mstaarabu anaekula na kipofu,yale yale ya manji kuingiza watu bure uwanjani kumbe ni mkwanja wa EPA.
 
Dah, inashangaza kusoma fikra za watu humu. Juzi juzi Man U walipomfunga mtu wakachukuwa kombe la dunia shemeji yangu alivua nguo zote akabakiza bukta tuu. ni vile hakupigwa picha wala kideo. sasa naye mzalendo? ama mshabikia/mpenzi wa man u. hebu tafakari kidogo.
 
Duh...hii noma sasa,,kumbe 'MO' naye anauza drugs!!!!!!!!!!..anways lakini jamaa anapenda soka hasa,ni mnazi hasa wa kabumbu so hana budi kupongezwa kwa hili la kuwa msitari wa mbele katika uihamasisha timu yetu ya Taifa pamoja na kutoa misaada ya mara kwa mara ya hali na mali kwa stars...big up 'MO'
Kama ni hivyo mbona hakukamatwa na Bashite? Acheni utani wakuu.
 
Kujionyesha ukisaidia kuinua jambo fulani kama sehemu ya mkakati binafsi wa kujipenyeza zaidi mioyoni mwa watu kibiashara, siyo uzalendo kamwe! Mzalendo hatafuti utukufu wake mwenyewe, kwa kuipigania na hata kuifia nchi, bali upigana na hata kufa kwa utukufu wa nchi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo, huo, ndiyo uzalendo kamili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom