Mogae kazeeka vibaya! Wa-xhosa mkimsikiliza mmekwisha!!

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
2,783
819
Mogae ataka wapenzi wa
jinsia moja wahalalishwe
19 Oktoba 2011 14:50
Botswana haina budi
kuhalalisha wapenzi wa jinsia
moja na biashara ya ukahaba ili
kuzuia kusambaa kwa
maambukizi ya UKIMWI, Rais
wa zamani wan chi hiyo Festus
Mogae ameiambia BBC.
Bw Mogae, aliyeongoza
serikali ya Botswana kuunga
mkono Baraza la Aids
amesema ilikuwa vigumu
kukampeni ngono salama
wakati mambo hayo mawili ni
si halali.
 
Back
Top Bottom