Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,384
- 92,705
wakuu wasalaam, nimekuwa online leo kwa muda mrefu na nikawa napishana majukwaaa na Rev Masaniro mara jukwaa la mwisho namkuta yuko Banned, na kuna sehemu niliona hali ya hewa inaanza kuchafuka kati yake na memba mwingine, je ni thread hipi iliyomsababishia Ban? hii itatusaidia kuepuka kosa alilolifanya maana humu kuna watu ni mahodari wa kukutia mtu hasira.