mods tafadhalini....

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Tufungulieni jukwaa la astrology,ukiamka tu asubuhi unasoma nyota yako jamvini,huna haja ya kusoma magazetini.
Mfano leo kwenye gazeti mashuhuri la jf udaku nyota yangu inasema:
Haja ya moyo wako itatimizwa leo,panda ndege nenda arusha,chocolate za ferevero in hand,mbaya wako jana kaachwa.
Ya The Finest inasema: surprise! afrodenzi atakutumia maua na kadi ya birthday.
Ya Kongosho: umezidi uzanga,mmeo atakufumania leo,atakumwagia pilipili kwenye niniliyu
Ya Lizzy: saa ya kuachika na kupata mwanaume wa ukweli ni sasa,changamkia tenda ya bilionea la kihaya.
 
Last edited by a moderator:
kweli hii kitu ni muhimu maana yangu inasema leo ndio siku ya kumtokea yule umpendae maana hatokataa, hii ni kwa mujibu wa gazeti la "the sun" uk!, chini ya msaada wa google translator.
 
Tufungulieni jukwaa la astrology,ukiamka tu asubuhi unasoma nyota yako jamvini,huna haja ya kusoma magazetini.
Mfano leo kwenye gazeti mashuhuri la jf udaku nyota yangu inasema:
Haja ya moyo wako itatimizwa leo,panda ndege nenda arusha,chocolate za ferevero in hand,mbaya wako jana kaachwa.
Ya The Finest inasema: surprise! afrodenzi atakutumia maua na kadi ya birthday.
Ya Kongosho: umezidi uzanga,mmeo atakufumania leo,atakumwagia pilipili kwenye niniliyu
Ya Lizzy: saa ya kuachika na kupata mwanaume wa ukweli ni sasa,changamkia tenda ya bilionea la kihaya.

Heri yako mkuu.
Mimi ya kwangu baada ya kugusa maslahi ya Cantalisia inasoma kuwa utakoma kufukunyua Ndoa za watu, mpaka utafunga hiki kigazeti chako urudi kwenu kijijini...
Nahitaji maombezi kwa kweli..
 
We fukunyua tu,ndoa nyingine bila kufukunyiliwa hazisimami sawasawa.
 
me hapa huwa nachoka pale nikutapo nyota yangu imeandikwa "cku ya leo unatakiwa kuvaa nguo za hudhurungi pia pendelea kutembelea mashariki zaidi" yan nachanganyikiwa zaidi make cjui hudhurungi ni rangi gani?
 
Back
Top Bottom