The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,149
- 2,536
Unamtaka?
i'm falling for the bad boy unajua nampenda,nampiga vita,na mtaka pia ndo maana namwangalia una neno?
Unamtaka?
Heheheheheeee
i'm falling for the bad boy unajua nampenda,nampiga vita,na mtaka pia ndo maana namwangalia una neno?
Shemeji The secretary tamka kauli moja tu yenye kueleweka acha kung'atang'ata majani bhana!
The secretary,kwa post hii umeniuzi mpaka basi,sawa bana......i'm falling for the bad boy unajua nampenda,nampiga vita,na mtaka pia ndo maana namwangalia una neno?
huyu babu ana gubu mwenzie mengi kapata vitoto viwili vya uzeeni ye ni wivu tu ye kila topic anatongoza mi thithemi
Sasa ninong'oneze kati ya BANANA MAN na B52 who's truly yours The secretary?