MoDs ngoja niwalipue!

Bishanga umechoka kukaa uraiani
Ngoja waamke maana nafikiri muda huu wamelala
Afu huyo Erickb52 kaukwaa umod lini au ni umod wa kuruka na wake za watu maana sijawahi msikia

Alimhonga mihela maxence akampa u modi wa chichat,ngoja nikawasemee takakuru.
 
Last edited by a moderator:
Umeona eh? Mi kanitaja bila uoga sababu yeye ndie mwalimu wangu hivo anajua hata nikiwa na hasira siwezi mdhuru kiivo, hajanipa lesson ya kumdhuru yeye mwalimu wangu.

Tuition inaendelea,kesho tutakuwa mangapwani,pemba uwahi maana tutachukua somo la kuwashusha mshipa wabaya wetu.
 
Last edited by a moderator:
nawataja kwa taaluma zao:
pou: ni mwalimu wa UPE uhuru mchanganyiko.
Roulette: taaluma yake ina utata,inasemekana ni 'fundi',kuruka kwa ungo kwake ni muhali.
Candid Scope: Mnec wa sisiem
Invisible: shushushu,secree,njata,mhesabu vizibo...in aza weds hafai.
Erickb52: mwizi tu,bandido,majuzi aliswekwa ndani arusha,kazi kudandia wake za watu,atajiju mwaka huu.

na Bishanga ni Maxence Melo
 
Last edited by a moderator:
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom