MoDs ngoja niwalipue!

nawataja kwa taaluma zao:
pou: ni mwalimu wa UPE uhuru mchanganyiko.
Roulette: taaluma yake ina utata,inasemekana ni 'fundi',kuruka kwa ungo kwake ni muhali.
Candid Scope: Mnec wa sisiem
Invisible: shushushu,secree,njata,mhesabu vizibo...in aza weds hafai.
Erickb52: mwizi tu,bandido,majuzi aliswekwa ndani arusha,kazi kudandia wake za watu,atajiju mwaka huu.

Jasiri haachi asili ukipata vijisenti hata kama ni mkopo lazima uanze bifu.
 
Last edited by a moderator:
Jiwe Linaloishi usimfuate huyo Mr Rocky atakuoteza na utabaki kuambulia kula ban tu oooh mwenzako mjanja hapa anatafuta ban kwa nguvu ili apate muda ea kufanya kazi
Halafu naomba mwambie Bishanga kuwa The secretary anashida na Mil 20 haraka

hahahah wote mnaonekana hamjatulia mnaruka ruka kama pop kon kwenye kikaango... hiyo 20M si wewe ndio mwenye shida nayo kwahiyo unamtumia The secretary kama daraja ngoja bishanga aje.. kama hamjabadilishana majengo ya serikali, mtume The secretary kwangu ila atarudi nazo kesho kutwa
 
nawataja kwa taaluma zao:
pou: ni mwalimu wa UPE uhuru mchanganyiko.
Roulette: taaluma yake ina utata,inasemekana ni 'fundi',kuruka kwa ungo kwake ni muhali.
Candid Scope: Mnec wa sisiem
Invisible: shushushu,secree,njata,mhesabu vizibo...in aza weds hafai.
Erickb52: mwizi tu,bandido,majuzi aliswekwa ndani arusha,kazi kudandia wake za watu,atajiju mwaka huu.

Hapa nna hakika ulikuwa banana ya 6..... Toka lini Erickb52 akawa mod?
 
Last edited by a moderator:
Mkulu Mr Rocky, huyo jama Paw sina ugomvi nae, labda atakuwa ananitafuta ili anipe zawadi kwa kuwa sijaingia BAN ZONE kwa muda mrefu!

Mhhhh wakati una kesi ya kumtukana matusi ya nguoni Paw
alikuchunia tuu hajukupa ban ila amesema ukiingia kwenye anga zake anakuba ban ya maisha
 
Last edited by a moderator:
hahhaha inaweza kuwa afadhali kwangu manake naona zinanitia gharama kila siku kuliko hata tumbo... hazitosheki.. kila siku zinataka mambo mapya mapya

Hutakuwa tena na haki ya kuitwa mwanaume
maana hiyo ndio inakupa haki zote za kuitwa mwanaume
Na kwani tumbo lishawahi kutosheka hata siku moja aise Jiwe Linaloishi shukuru kuwa nazo bana tena zikiwa active
 
Last edited by a moderator:
nawataja kwa taaluma zao:
pou: ni mwalimu wa UPE uhuru mchanganyiko.
Roulette: taaluma yake ina utata,inasemekana ni 'fundi',kuruka kwa ungo kwake ni muhali.
Candid Scope: Mnec wa sisiem
Invisible: shushushu,secree,njata,mhesabu vizibo...in aza weds hafai.
Erickb52: mwizi tu,bandido,majuzi aliswekwa ndani arusha,kazi kudandia wake za watu,atajiju mwaka huu.

We usiwavunje mbavu zao watu hapa JF. Umefanya utafiti we na kushtukia siku nyingi mada zile za vunja mbavu zimekosekana umeamua kubuni ya leo kali.
 
Back
Top Bottom