Modernization of Girls

teh teh! hi ya kutoka 70 to 90 ilikua ovyo bana. sa love si inachangiwa na hayo mengine!
hi ya 2000 ndo kali.
hi ya 2011 ndo inayosababisha kuanza kuambizana flni anjua bana, flani ovyo kweli,
flani ataoa mtandao wa nusu shilingi n.k. mbaya.
 
Hizo siyo takwimu!
Takwimu zinahusisha idadi, frequency au size(numbers).
Hayo ni maelezo tu...weka sawa thread yako!
 
Hizo siyo takwimu!Takwimu zinahusisha idadi, frequency au size(numbers).Hayo ni maelezo tu...weka sawa thread yako!
Bro PJ utani tu huo au sijui niseme uzushi kwahiyo kuomba takwimu ni kama kutaka idadi halisi ya kura alizopewa rais wa watu mwaka jana‘!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom