Moderator, vipi mchapo wa pasaka wa jonesgwalu?

Futota

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
521
87
Jamani tangu jana narudi rudi kwenye JF chit-chat nikitafuta muendelezo wa discussion ya mchapo kutoka kwa ndugu Jonesgwalu (sijui kama nimepatia), ilikuwa ni ka mchapo kuhusu mashosti.........na njemba.... mtazamaji (who posted the topic) akitupasha nini hasa kilichotokea kwenye bar moja hapo mtaani. Yaani ni mchapo wa kuvunja mbavu, tatizo sasa umepotea, vipi moderator kulikoni? hebu turudishie bwana LOL
 
Mie sikuuina lakini kama unachekesha na ni mchapo basi hebu jaribu jukwaa la jokes inaweza kuwa imepelekwa huko
 
Mie sikuuina lakini kama unachekesha na ni mchapo basi hebu jaribu jukwaa la jokes inaweza kuwa imepelekwa huko

jukwaa la jokes pia nimetembelea ku check, nimerudi hadi page ya sita hivi, hakuna.
hivi mtu anaweza kufuta post mwenyewe? pengine mwenyewe ndugu jonesgwalu aliamua kuifuta.
La moderator chonde chonde tafadhali rudidsha post, inafurahisha, nzuri baada ya siku nzito ya kazi mchana kutwa, unapata mchapo wa kukuchana mbavu namna hiyo.
cheers!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom