Modem za kushika signal za wireless internet kwa computer zisizoshika wireless internet

Nilikiagiza China kwa dola NNE tu ikiibadili pamoja na usafiri inakuja kama sh 8000 za kitz
 
900px-Bridge-an-Internet-Connection-Step-1.jpg
 
Wote hamueleweki jamani! "External wireless device" ndo nini? Kuweni specific kwenye maswali yenu mtasaidiwa.

mkuu mbona ameeleweka,komputa yake haina uwezo wa kushika wifi sasa anataka device intakayomsaidia kupata hzo signal, sidhan kama ni lazima aujue jina exactly ila dhamira yake inaonesha hvyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom