Modem za kushika signal za wireless internet kwa computer zisizoshika wireless internet

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Heshima
naomba kusaidiwa kujua wapi nitapata Modem za kushika signal za wireless internet kwa computer zisizoshika wireless internet
nikipata na bei yake itakuwa vizuri zaidi
natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Kwa wireless internet unamaanisha nini? Unataka kuunga na kampuni ya simu kama Voda au Tigo? au unataka kuunga na Wifi?

Modem ya Voda 30,000 kwa kuangalia website yao.
 
Nadhani anazungumzia external wireless device, na mim pia natafuta hii kitu!
 
Nadhani anazungumzia external wireless device, na mim pia natafuta hii kitu!

Wote hamueleweki jamani! "External wireless device" ndo nini? Kuweni specific kwenye maswali yenu mtasaidiwa.
 
kama wataka wireless kadi ya ku plug kwenye laptop, zipo zinafanana kama vi flash mara ya mwisho nilinunua lefu 30 dodoma kwenye duka flani lakain nadhan ukienda kariakoo huwezi kukosa
 
mi nnayo nyumbani ya desktop langu mi natumia netgear ipo kama ivi

Netgear_usb.jpg

Hivi vitu vimekua adimu sana ila kuna maduka duka ya wachina unaweza pata jaribu uhuru ile try ur luck
 
Wote hamueleweki jamani! "External wireless device" ndo nini? Kuweni specific kwenye maswali yenu mtasaidiwa.

Wanaulizia modem either iwe na line ya service provider au flash burnt na hiyo modem iwe. Na uwezo wa kupokea wireless signals, two in one
 
ninayo wifi 3com kwa laptop ambayo haina wireless, hii inakufaa,
View attachment 68847 hii utaweza kupata wireless kutoka ISP,
lazima akupe ruhusa kupata wireless yake, kwenye public wireless unapata bureee
angalizo, hii sio modem , so usitegemee kupata network ya voda, tigo nk

Ni PM TU meseji tuongee biashara.
 
Kwa wireless internet unamaanisha nini? Unataka kuunga na kampuni ya simu kama Voda au Tigo? au unataka kuunga na Wifi?

Modem ya Voda 30,000 kwa kuangalia website yao.
labda kaw maelezo haya utanielewa
ofisini kwetu kuna wireless internet ambayo provider wetu ni TTCL broadband
na tuna laptop kama tatu hivi hazina access ya wireless internet na inakuwa vigumu kutumia cable kwa sababu laptop hizo watumiaji wake ni watu wa kuzunguka tuka ofisi moja hadi nyingine na mara nyingine hata kwenye korido
hivyo tulitamani tuwafungie modem zitakazo receive wire less internet ambayo ipo ofisini.
sina uhakika kama hicho kifaa kinachoweeza kupokea wireless signal kinaitwa modem
 
Ok hapo umeeleweka, hiyo haiitwi modem unachotaka ni Wifi adapter/dongle, za USB ndo popular siku hizi inafanana na 3G modem au flash drive kwa muundo. Kuna hizo kama mansaka... aliyoweka ila laptop nyingi haziji na hiyo port ya kuchomeka hilo lidude siku hizi.

Hakikisha kwanza kuwa hizo laptop kweli hazina uwezo wa Wifi, sio rahisi kwa laptop iliyotengenezwa ndani ya miaka 5-7 iliyopita kutokuwa na uwezo wa wifi. Laptop zengine zina switch ya kuzima na kuwasha wifi au angalia kwenye device manager. (Win 7) Nenda start type device manager, fungua kisha nenda sehemu ya Network Adapters angalia kama una wireless network adapter au weka model ya laptop yako tutajua.

trendnet-tew-648ubm-wifi-adapter.jpg

wifi-usb-adapter.jpg
 
Zinaitwa wireless network adopter. Zipo za internal hizi zinatumika sana kwenye desktop na external ambazo waweza kutumia kwenye desktop au laptop ziko kama flash. Sio MODEM. Modem ~ Modurate Demodurate.
 
Kwa hapa Dar jaribu pale Sunray computer (zamani sunrise) lipo barabara ya uhuru karibu na M bank
utapata hiyo kitu kwa bei nzuri maana wao wanauza bei poa.
duka lingine ni zawadi technology pale Msimbazi
 
kuna program mpya inayo itwa "" mobile patner " ina features zote Wi-fi,phone calling,ussd,message etc jaribu kudonload hii dashboard alafu ui replace iyo dashboard yako ya zamani(eithe airtel,tigo,voda and zantel....
 
Ukiifuatilia hii mada vyem utajifunza yafuatayo
  • Mtu mwenye pc isiyo na wireless adapter anataka aweke wireless adapter ili aweze ku_detect na ku_connect pc yake kwa wireless network - Anatafuta Hardware yaani wireless adapter
  • Wakati hii " mobile patner " yenyewe inahitaji uwepo wa wireless adapter kwanza, ndipo utaweza kushare internet na device zingine, yaani unaifanya PC au laptop yako kuwa Wifi -Hotspot
  • Hivyo siyo sahihi kutoa ushauri kwa mhitaji wa Hardware (wifi adapter) kuwa aweke software (" mobile patner ")
 
zipo madukani mi nilinunua shinyanga inaweka laini aina zote pia ni wireless ina kama ka eria inakamata mawimbi mita 350
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom