modem za airtel za huawei haiwezekani ku2mia line zote bila unlock kama ilivyo za vodafone zte??

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Kama una modem ya voda zile za zte kuna software inaitwa JOIN AIR,itakuwezesha ku2mia line yeyote ya mtandao wowote bila kuchakachua wala ku update frameware.Je? Modem za Huawei haiwezekani? Kama kuna m2 anajua atujuze!
 
huawei zinawezekana

kwa kutumia njia gani na swali la muhimu je hiyo ni ile ya zamani au mpya kama ni mpya basi jamaa wanachofanya niku unlock temporary ukiichomoa inajilock upya..

labda kuna njia nyingine ambayo hata kwenye masite hawaiweki sawa..
 
just google this link 3mobile broadband connection, na download ya huawei-it work
 
mi nilikuwa na huawei 1500 lkn imeharibika kwa sasa natafuta modem itakayoniwezesha kutumia line zote kwa kuwa huawei 1500 hazipo sasa msaada jamani ni modem zipi nzuri ambazo hazisumbui kuchakachua?
 
Back
Top Bottom