Modem yangu inanisumbua

Kitabu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
302
26
Wakuu nuna modem ya voda,kwa hapa nilipo,network unasumbua sana,Kama kuna mdau anayeweza kuchakachua tafadhali naomba msaada!!!
 
Upo maeneo gani? Kama upo dar ni pm ili ichakachuliwe na uweze kutumia mtandao wowote ule kwa kutumia modem hiyohiyo hayo makampuni yanatuibia sana! Tena utatumia 2500 tu kwa mwezi mzima
 
Upo maeneo gani? Kama upo dar ni pm ili ichakachuliwe na uweze kutumia mtandao wowote ule kwa kutumia modem hiyohiyo hayo makampuni yanatuibia sana! Tena utatumia 2500 tu kwa mwezi mzima

duh! Ushauri mzuri sasa mie sina modem kwa hiyo ninunue alafu ntakupataje? Mie niko arusha. Kativo
 
Upo maeneo gani? Kama upo dar ni pm ili ichakachuliwe na uweze kutumia mtandao wowote ule kwa kutumia modem hiyohiyo hayo makampuni yanatuibia sana! Tena utatumia 2500 tu kwa mwezi mzima
Nipo mapinga,ni baada ya Bunju kuelekea B'moyo.Upo wapi Mkuu nikutafute
 
Samahani kwakuwa kimya kiongozi nimepigwa BAN account yangu ya Boss wangu! Hebu nipigie no 0715865544 nitakuchakachulia hiyo modem na bwana Katavi nunua modem yoyote hizi wanazouza za promosheni za voda,tigo,airtel,zantel,sasatel zinakuwa na port ya kuweka line hivi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom