Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@bigmgen mmmh!
mkuu ni kweli inasehemu ya kuweka line? Me nadhani hiyo ni sehemu ya memory card.modem hii ni huawei, ina connect bila line, lakini pia ina sehemu ya kuwekea line
Ndio ni sehemu ya kuweka M. card.mkuu ni kweli inasehemu ya kuweka line? Me nadhani hiyo ni sehemu ya memory card.
zinachakachulika guys kuna watu wana edit baadh ya setting kwnye network profile...ila hyo knowledge wanabania saaana yan hawatak kusema wala kushare..!! Ukitaka akuchakachulie unampa 60000 kama huna unachapika! Una2mia internet free mpk zantel watakapofilisika teh teh teh!
Msaada tafadhali, nataka kuhamia Airtel wenye internet ya ukweli