Modem ya voda

Paje

JF-Expert Member
Apr 24, 2010
1,185
455
NIMEONA watu wengi wanasumbuliwa na hii modem ya voda ya k3570z au k3571z . kuitumia modem hii ni kazi rahisi sana.
utahitaji mafaili mawili kutoka internet:
kwanza download: Hotfile.com: One click file hosting: Win-ZTEDrv_V1.0.1.16.zip
kisha downlaod : vf_k3570_new_dialler.rar - 4shared.com - online file sharing and storage - download

pili downlaod :
jambo la kwanza hakikisha hutumii ile software ilokuja nayo wala driver zake. na kama uliwahi kuinstall basi uninstall kila kitu kilichokuja ikiwemo ile software dashboard na drivers zote.

halafu fuata steps laini zifuatazo:

1. kwanza hakikisha modem yako ya voda haijachomekwa.

2. pili toa au uninstall kila software uliyoinstall kuhusiana na

modem ya voda ikiwemo dashboard zote, ile ya original na nyengine

yoyte.

3. restart computer yako. (muhimu sana)

4. bila ya kuchomeka modem ya voda, anza kwanza ku install win zte

driver. halafu baadae ndio u install vf k3570 (dashboard).

5. kisha hapo restart komputa. na ikiwaka na kutulia ndio chomeka

modem yako ya voda tayari kula raha.
 
Mkuu ahsante imekubali kwa modem ya mzee wangu ..je na hii unaweza nipa msaada K3565-Rev 2 ya Huawei.
 
NIMEONA watu wengi wanasumbuliwa na hii modem ya voda ya k3570z au k3571z . kuitumia modem hii ni kazi rahisi sana.
utahitaji mafaili mawili kutoka ............

Mambo vipi mkuu? Aisee mie nami ni miongoni mwa tuliopata taabu sana kutumia hizi modem za voda(zte). Nimefuata mlolongo mzima, na modem iko detected na nimeweza ku-connect to the internet. Ila na-connect kupitia process hii control panel-network and internet-network and sharing centre then connect to a network. Hii dashboard ya k3570 uliyotupa, kila nikiifungua, inajaribu kufunguka then inajifunga. Kwahiyo nimeshindwa kuelewa tatizo hasa ni nini? Na hii issue hata kwa join air ni hivyo hivyo, the same problem happen.
 
kuna problem katika windows yako. jaribu kuinstall microsoft dotnet framework 3.5 na 4. just google for it. na jambo la muhimu kuliko yoooote jee umetowa au ume uninstall ile original dashboard pamoja na original drivers. may be hizo ndio source za matatizo yako
 
baada ya hapo nitakula net bure au inakuaje?nijuzeni wadau kha!
 
kuna problem katika windows yako. jaribu kuinstall microsoft dotnet framework 3.5 na 4. just google for it. na jambo la muhimu kuliko yoooote jee umetowa au ume uninstall ile original dashboard pamoja na original drivers. may be hizo ndio source za matatizo yako
Nli-uninstall original dashboard ya voda plus drivers pamoja na kila kitu chenye uhusiano na zte modem. Any way ngoja ni-google hiyo microsoft dotnet framework 3.5 or 4 kama ulivyonishauri.
 
mkuu nimefanya kama ulivyoelekeza but nikiconnet modem inaanza kujiinstall dashboard ya voda original niliyoitoa cha ajabu ikifika karibu na mwisho inaandika maneno kuwa kuna problem katika window package installer na ile ya vodafone k3571 ukiopen katika icon yake inaandika initializing then inajiclose nifanyege mkuu
 
Back
Top Bottom