Modem ya Voda haifanyi kazi!!

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
345
Hodi wanaJF!! Modem yangu ya voda haifanyi kazi toka Ijumaa. Je kuna mwingine mwenye tatizo kama langu? actually natumia modem ya Zain iliyochakachuliwa. Toka Ijumaa napata message inayosema hakuna connection na remote computer.

Hii ni nini?? Msaada plz
 
Back
Top Bottom