Modem naiuza

wanatamani

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
415
144
wabajamii naiuza modem ina bundle ya 1gyga na salio la laki moja na buku tano nataka 70000 tu mwenye kuitaka just email me with your mobile number speed 3.1 mb/second sasatel inakimbiza mbaya. Mimi ninazo nyengine zinatosha napunguza
 
Mkuu acha upumbavu bana, hii sio FB
Kama unapenda maskhara hapa si mahala pake nenda jukwaa la jokes ebo!!!!!!!,
unaikumbuka hii thread uliyo wa fool watu star times ting dstv zinachakachulika
Katotoe kwanza majibu ndio uje na ujinga wako mwingine
 
Tuondolee ushenzi siyo kila mtu mtoto humu, una umri gani kwanza au kama co umri akili yako haipo sawa 2kupeleke milembe hau2fai.
 
wabajamii naiuza modem ina bundle ya 1gyga na salio la laki moja na buku tano nataka 70000 tu mwenye kuitaka just email me with your mobile number speed 3.1 mb/second sasatel inakimbiza mbaya. Mimi ninazo nyengine zinatosha napunguza
Mkuu unataka kuongeza idadi ya thread ?Umechemka
 
wabajamii naiuza modem ina bundle ya 1gyga na salio la laki moja na buku tano nataka 70000 tu mwenye kuitaka just email me with your mobile number speed 3.1 mb/second sasatel inakimbiza mbaya. Mimi ninazo nyengine zinatosha napunguza
teh teh! Hilooo! Nenda jukwaa la joke kule zinaruhusiwa PUMBA ZAKO hizi.
 
moderator please try to moderate. this guy is getting............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom