Modem kwa Ubuntu zinagoma

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,026
Nina modem ya Airtel na zantel, lakini nikiweka kwenye ubuntu hai-access internet hivi hii ni kwanini?au inabidi ni-install wine niweze kuinstall?kwani kwenye window software installation inakuwa auto. How to proceed
 
inafanya kazi vizuri sana.....unabidi uadd hiyo device ili iweze kuwa detected...

laptp yangu ya kazi ina ubuntu na inakubali aina zote za line bile kuchakachua...ubuntu 10.4
 
Driver za ubuntu zipo ktk site za modem manufactures.go to HUAWEI or ZTE download for free
 
Unatumia version gani ya ubuntu?
Kifupi ni kama alivyosema Edson, unachomeka modem yako kisha kwenye icon ya network unaclick na una add modem yako, haina kuchakachua
 
Ubuntu 10.04 inasumbuaga kwakweli kwenye swala zima la kuu detect modem...ila ubuntu 11.04 wamejaribu kusolve hili tatizo
 
Imeshakubali but ya zain kwa line yake, nikiweka line ya voda kwa modem ya zain ngoma inagoma, kuna mwenye maujuzi hapo?
 
Back
Top Bottom