Mimi natumia kisimu cha Huawei U185 (Google Ideos)kama hivyo vya Tigo vina sehemu ya tethering,natumia mtandao wa Airtel naweka kifurushi cha 400 MB iko fasta zaidi kuliko nikitumia hizo modem,niko Mbweni kijijini
Juzi Dec 27 Airtel shops zote za Dar zilikuwa zimeishiwa modem,na modem za Airtel ndio aghali kuliko zote kama sikosei zinauzwa buku 52,hawa jamaa kwa sasa wameipiku Zantel ambao kuna wakati ndio walikuwa wanaongoza kwa mambo ya internet kwa makampuni ya simu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.